Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

JANGWA LA SAHARA; MAMA WA MAJANGWA YOTE DUNIANI. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Thursday- 18/02/2021 Marangu, Kilimanjaro, Tanzania Jangwa la sahara ndio Jangwa kubwa zaidi barani Afrika, Pia...
8 Reactions
15 Replies
8K Views
Uchina nitaifa linalokuja kwa kasi duniani, nanaona linahitaji kutambulika kuwa ni taifa lenye uwezo kama yalivyo mataifa makubwa kama marekani, uingereza na urusi. Kwa namna China inavyoenenda...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
KUIPER BELT Kadiri tunavyoendelea kuwepo kwenye dunia hii tunaendelea kupata kujua mengi sana kuhusiana na mazingira yetu na yale yote ambayo yanatuzunguka.Ukiacha maswali mengi ambayo binadamu...
69 Reactions
293 Replies
36K Views
LIMAO, TANGAWIZI NA SAYANSI Limao, ndimu, tangawizi, vitunguu maji na vitunguu swaumu nk. ni viungo vya chakula vyenye faida kedekede za kiafya. Kuwa na faida kedekede za kiafya hakumaanishi ndio...
16 Reactions
68 Replies
9K Views
The most striking part of this story is her description of daily life during the Third Reich and then during the war in Europe (1939-1945). Her account reminds me of the way my own grandmother...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Licha ya mabadiliko mbalimbali katika nyakati ni dhahiri kabisa kuna baadhi ya tamaduni za imani za kale kwa miaka maelfu kadhaa zimeendelea kudumu nakubaki kuwa misingi ya imani kuu za walio...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
habari vipi wadau Jarida moja la times nimelisoma wiki iliopita nimejionea mambo amabayo wazungu hasa usa na canada mambo waliyoandaa kufanyika miaka 2000 ijayo nimependa nileta humu na nyie...
12 Reactions
38 Replies
7K Views
Miaka ya nyuma kuanzia 2009 kuna huduma vpn ilitamba sana mpaka zile kampuni kama PD proxy Sio ngeni kwa walio kuwa wanatumia huduma hii na n.k Huduma hii ilitamba sana kwa watumiaji wa data...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Nianze kwa kuweka pembeni mafundisho ya dini yoyote kuhusu Mungu. Nitakupa maana yangu niliyoibuni nilipokuwa mdogo chini ya miaka 10. Nilimuuliza Bibi yangu mzaa Baba: Sisi tumeumbwa na Mungu...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Dunia imegawanyika katika sehemu kuu tatu. 1.Vitu halisi vinavyoweza kuthibitishwa na milango ya fahamu ya binadamu mfano kiti,mlima, nguo,nyumba,mnyama,binadamu mwenzako,nyota,sayari n.k.Pia...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ni matumaini yangu kuwa Jumamosi yenu inakwenda vyema kabisa. Naombeni kuleta uzi kuhusu familia hii ya kipekee kidogo katika uso Wa dunia. Karibuni. Hii ni familia ya Bwana...
7 Reactions
27 Replies
8K Views
Angalia vitu vyote katika maendeleo yao na mageuzi yao, hewa ni ya lazima. Michakato yote ya viumbe haiwezekani bila uwepo wa hewa. Kitalaamu hewa inaelezwa kuwa ni mkusanyiko wa gesi mbalimbali...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wengi watajiuliza baada ya kusoma kichwa cha habari. Je, ni kitabu gani hicho haswaa cha wahenga kilichomaanishwa hapa? Jibu ni rahisi kuwa kitabu kilichomaanishwa ni hicho hicho maarufu zaidi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
'Leo ntazungumzia mada tata kidogo ya kifo maana kamwe hata mwanasayansi hawezi thibitisha undani wake si kwa sababu haiwezekani la hasha hakuna aliye tiyari kutangulia na madamu ukienda huko ndo...
4 Reactions
60 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakuu; Katika ulimwengu huu tunaoishi ambao teknolojia ya mawasiliano imekuwa ikipanuka na kushamiri kwa kasi kiasi cha kufanya dunia kuwa kama kijiji kwa kuwaunganisha watu kupitia...
5 Reactions
32 Replies
10K Views
Rupia pamoja hela fulani za zamani ambazo zinatafutwa sana na watu hata kwakununuliwa kwa mabilioni ya fedha kuna uhusiano fulani na baraka za kutoka kwa mungu.Hili swala nalizungumzia kwa...
14 Reactions
23 Replies
15K Views
Kwa nini dini ya Kikristo imeweza kupata mafanikio makubwa kwa maana ya kuwa na idadi kubwa ya wafuasi kuliko dini zozote zilizoitangulia ? Inakadiriwa ukirsto una idadi ya wafuasi bilioni 2.3,hii...
7 Reactions
75 Replies
8K Views
Jamani, nasikia Usalama wa Taifa ni watu makini sana na nadhifu,na wana siri kuu za dunia. Sasa ikiwa unataka kumuoa, anaruhusiwa kukueleza siri za nchi kwakuwa mmekuwa mwili mmoja na unampataje...
4 Reactions
37 Replies
11K Views
Ebu Leo tuambizane ukweli hapa!! Hivi ni kweli kabisa Dunia imeshindwa kuwakamata waliotengeneza kirusi cha korona? Mataifa makubwa wameshindwaje kung'amua mipango ya uaandaaji wa kirusi hiki...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
Jina la Kitabu. Tough Times Never Last, But Tough People Do! Mwandishi. Robert H. Schuller Mchambuzi. Nanyaro EJ Utangulizi Mwandishi anasema kuwa Mwenyenzi Mungu amempa mwongozo mzuri na...
9 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom