Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Dhana ya uwepo wa kitu cha siri imeghubika nembo za kwenye sarafu na kufanywa kuwa ishara au alama inayoonekana. Alama ya 'Jicho' - hili ni jicho ndani ya umbo la pembe tatu - ni moja ya alama...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wana JF, nadhani mko poa sana,niko hapa kuomba ushauri wenu juu ya changamoto nayokutana nayo,nilipokuwa nasoma advanced secondary school bording, nilipoanza form five baada ya kupita miezi...
10 Reactions
187 Replies
40K Views
Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa...
24 Reactions
49 Replies
13K Views
Nina imani tu wazima wa afya, leo katika kuwaza na kuwazua akili ikanituma kufikiria juu ya kuenea kwa mila na tamaduni za kiyahudi (waisraeli),kiarabu na kihindu duniani kote bila kukumbana na...
1 Reactions
3 Replies
866 Views
Israeli space chief says aliens may well exist, but they haven’t met humans After retired space pioneer Haim Eshed claims aliens visited Earth, made deals with people, Isaac Ben-Israel says he...
8 Reactions
68 Replies
9K Views
Kikawaida na imezoeleka hivyo Mandela kuonwa kama shujaa wakiafrika ila ukweli makabulu wanacheka sana, katika hili shirika la kijasusi la kikaburu boss limeonekana shirika bora kwakuweza kulinda...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu habari Hii kitu nimeiona kwenye Uzi mmoja hivi nikaona sio mbaya kuja kuuliza kupata ufafanuzi zaidi. Lina faida gani katika ulinzi wa Rais na mambo mengine
2 Reactions
69 Replies
13K Views
Unaweza kufikiria ilikuwaje mtu ambae hajawahi kuishi kupata mtoto? Familia moja huko marekani ilipata mtoto na baba alipoamua kufanya kipimo cha DNA majibu yalimshangaza Hakuwa baba wa mtoto...
9 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu najaribu tu kuwaza kama heading inavyojieleza, tunalala na tunaamka viumbe wote hai lazima walale tena usingizi wa kutojitambua na pasipo kujua chochote kinachoendelea juu yao. Kuna...
3 Reactions
64 Replies
12K Views
Habari zenu Nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid NOTE: usilete utani tupo...
11 Reactions
288 Replies
32K Views
Let's dive in a non spiritual world/ physical one, the world of Newton's laws, the world of wanyonge and wasakatonge. Does randomness defy creationism? If it doesn't, then how can you explain the...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Mark my Word : “Livafan” Mheshimiwa kafanya mambo Mengi sana ya kupigiwa mfano kama kama kiongozi wa Taifa letu;- Hayati Dkt John Pombe Magufuli nina imani na ninaamini kanisa la Tanzania...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Hii picha nimekua nikiitazama mara kadhaa sijaipatia majibu ........... Nimepnda ku share ili wajuzi muweze kunifafanulia hii picha inamaanisha nini..... Mwandishi alikusudia nini.......
4 Reactions
21 Replies
4K Views
HIVI BAADA YA SHETANI NA BIBLIA KUCHAPISHWA HAKUNA MALAIKA MWINGINE ALIYE ASI TENA MBINGUNI MPAKA SASA? Hivi dunia iliumbwa kabla ya shetani kutolewa mbinguni au baada ya shetani kutolewa...
5 Reactions
75 Replies
9K Views
Leo sitoenda mbali sana katika mifano yangu japo sitokuwa jirani sana bali ntawapa soga landana sana na ardhi ya ukwasi, Bila ajizi waweza dhani waelewa vingi vya sirini lakini vile vya upenuni...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukiangalia vumbuzi zote Duniani ni njema, nzuri kwa ajili ya kufanya maisha si tu kuwa mepesi bali bora zaidi. Hakuna uvumbuzi ambao umefanyika duniani ambao ni mbaya. Kinachokuwa kibaya ni...
1 Reactions
1 Replies
989 Views
Kiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu. . Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima...
18 Reactions
650 Replies
37K Views
Amani iwe nanyi. Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa...
41 Reactions
171 Replies
11K Views
Tafadhali ongozana nami kwenye tafakuri hii. Kwa nini katika miili ya viumbe hai kuna kuna ute ute ambao huwa katika formula ya kunata, kuvutika au kuteleza iwe ni mate, shahawa, kamasi, jasho...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
OPERESHENI BARRACUDA ILIVYOMUUA LUMUMBA - 01 Alhamisi ya Juni 30, 1960, Congo ilijipatia uhuru kutoka kwa Ubelgiji. Waziri Mkuu Patrice Emery Lumumba akiwa na miaka 35, akawa kiongozi wa jamhuri...
17 Reactions
50 Replies
13K Views
Back
Top Bottom