Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,963
Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia na highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.

Mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwenye bustani ya eden ambayo ilikuwa na mto pembeni yake,kabla hajaumbwa paliumbwa wanyama wengi ,bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE..ndo maana huambiwa fuvu la kwanza lilipatikana olduvai gorge,na ukijaribu kuangalia tanganyika ndipo penye mlima mrefu africa na pia mlima wa oldonyo lengai ambao ni pekee yake hutoa volcano nyeupe ulimwenguni kote (eden)ndo maana huitwa mlima wa Mungu.

Mwanadamu huyo aliumbwa kwa mavumbi yani vumbi likiwa kavu ni brown na likilowa ni jeusi(black person).

Mwadamu huyo mweusi alikuwa na nywele ngumu zilizosimama maana yake ,ni kuwa zilielekea juu aliko muumba wake kuumanisha anamawasiliano naye(akili ni nywele).

Africa ndo chanzo cha uhai na uzao wa aina zote za binadamu,yani wachina,wazungu,warabu,wahindi na mengineyo ...mfano hai ni DNA za mwafrica zinaweza toa kiumbe wa rangi zote 7 yani utimilifu wa Mungu(thats unique).

Mafarao wote ni weusi na pyramid zote zimejengwa na wakemeti yani wamisri wa zama hizo,watu ukisikia wanabishana sehemu kuwa yesu ni mweupe na mwingine anasema mweusi jua yesu alikuwa MWEUSI inahitaji upembuzi yakinifu kujua hili.

Kuna kitu kinaitwa THE STOLEN LEGACY yani uzao wetu ulihamia pande zingine za ardhi waliiba urithi wetu na technologia zetu na kuharibu mila kwa kufungulia mizimu tuliyoifunga kemeti na kutuachia balaa ambalo kwa jicho la tatu ndo hii dunia unayoiona kwa macho mawili sasa.kumbuka hivi vyote vilianza kemeti
Hesabu .

Upimaji wa sahani ya dunia kwa kutumia pyramid na jua.

Ujenzi wa mahesabu complex ,masonry yote ni kemet yani misri.
Mafarao na utawala wa nguvu za miujiza na uchwai.

Kuongea na Mungu direct

Moto

Vyuma

Mavazi na silaha n.k

Wazungu na jamii zingine ambao ni vizazi vyetu walivyoiba urithi wa ancestors zetu ndo sasa wanatumia hizo legacy kututawala ,kutufunga akili,kutupoteza na kuharibu mifumo yote ya umbaji kwa kuleta sayansi ambayo kushite ama sisi wakush tulipewa na Mungu.

Naomba niishie hapa ila kaeni mkijua kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na wazawa wa kwanza.
Tafuteni kitabu cha
KUSHITE KEMETI SPIRITUAL SCIENCE.
utajitambua wewe ni nani na dunia ipo vipi nawasilisha.

17426158_662059807314461_4113647389152425867_n-e1490381103478-1280x720.jpeg
images%20-%202020-06-06T164438.008.jpeg
FB_IMG_1588614739790.jpeg
IMG-20200506-WA0001.jpeg
 
Huyo manzi hapo kwenye picha yupo mwenyewe halisi au ni picha tu ya kuchora?
 
Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia ni highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.

Mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwenye bustani ya eden ambayo ilikuwa na mto pembeni yake,kabla hajaumbwa paliumbwa wanyama wengi ,bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE..ndo maana huambiwa vuvu la kwanza lilipatikana olduvai gorge,na ukijaribu kuangalia tanganyika ndipo penye mlima mrefu africa na pia mlima wa oldonyo lengai ambao ni pekee yake hutoa volcano nyeupe ulimwenguni kote (eden)ndo maana huitwa mlima wa Mungu.

Mwanadamu huyo aliumbwa kwa mavumbi yani vumbi likiwa kavu ni brown na likilowa ni jeusi(black person).

Mwadamu huyo mweusi alikuwa na nywele ngumu zilizosimama maana yake ,ni kuwa zilielekea juu aliko muumba wake kuumanisha anamawasiliano naye(akili ni nywele).

Africa ndo chanzo cha uhai na uzao wa aina zote za binadamu,yani wachina,wazungu,warabu,wahindi na mengineyo ...mfano hai ni DNA za mwafrica zinaweza toa kiumbe wa rangi zote 7 yani utimilifu wa Mungu(thats unique).

Mafarao wote ni weusi na pyramid zote zimejengwa na wakemeti yani wamisri wa zama hizo,watu ukisikia wanabishana sehemu kuwa yesu ni mweupe na mwingine anasema mweusi jua yesu alikuwa MWEUSI inahitaji upembuzi yakinifu kujua hili.

Kuna kitu kinaitwa THE STOLEN LEGACY yani uzao wetu ulihamia pande zingine za ardhi waliiba urithi wetu na technologia zetu na kuharibu mila kwa kufungulia mizimu tuliofunga kemeti na kutuachia balaa ambalo kwa jicho la tatu ndo hii dunia unayoiona kwa macho mawili sasa.kumbuka hivi vyote vilianza kemeti
Hesabu .

Upimaji wa sahani ya dunia kwa kutumia pyramid na jua.

Ujenzi wa mahesabu complex ,masonry yote ni kemet yani misri.
Mafarao na utawala wa nguvu za miujiza na uchwai.

Kuongea na Mungu direct

Moto

Vyuma

Mavazi na silaha n.k

Wazungu na jamii zingine ambao ni vizazi vyetu walivyoiba urithi wa ancestors zetu ndo sasa wanatumia hizo legacy kututawala ,kutufunga akili,kutupoteza na kuharibu mifumo yote ya umbaji kwa kuleta sayansi ambayo kushite ama sisi wakush tulipewa na Mungu.

Naomba niishie hapa ila kaeni mkijua kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na wazawa wa kwanza.
Tafuteni kitabu cha
KUSHITE KEMETI SPIRITUAL SCIENCE.
utajitambua wewe ni nani na dunia ipo vipi nawasilisha.

View attachment 1470191View attachment 1470192View attachment 1470195View attachment 1470196
Thats the truth we are the originals buddy and no matter what games they plot one day they will be kneeling to us to save the world mark my world
 
Sisi sio watu wa dunia ya tatu,sisi ndo wazazi wa dunia na maarifa ,ila vizazi vyetu vilituibia urithi wa mababu zetu,tukasahau asili yetu wakatumia maarifa yetu kuwarubuni ambao hawana urithi wa maarifa ,kuwatala na kuwadanganya ndo chain yote inakuja hadi sasa.
Sawa lakin kwanini tumekuwa watu wa dunia ya tatu?
 
Sina maana ya kubisha.
Ila haya mambo uliyoyaandika ni mazito ilibidi yasindikizwe na ushahidi za kihistoria.

Ninamaanisha je, haya hayakuandikwa popote?
Kama hayakuandikwa popote wewe umeyatoa wapi?
 
Sina maana ya kubisha.
Ila haya mambo uliyoyaandika ni mazito ilibidi yasindikizwe na ushahidi za kihistoria.

Ninamaanisha je, haya hayakuandikwa popote?
Kama hayakuandikwa popote wewe umeyatoa wapi?
Tafuta kitabu cha KUSHITE KEMETI SPIRITUAL SCIENCE au angalia youtube utajua asili yako
 
Cha historia yetu halisi from the start sio ule ujinga wa nyani na blah blah
Hicho kitabu ni cha historical au ni mtu anatoa mawazo yake kwa namna yeye anavyoona?
 
Sina maana ya kubisha.
Ila haya mambo uliyoyaandika ni mazito ilibidi yasindikizwe na ushahidi za kihistoria.

Ninamaanisha je, haya hayakuandikwa popote?
Kama hayakuandikwa popote wewe umeyatoa wapi?
Samahani! Sina nia ya kukosoa mtazamo wako lakini kwa kauli yako hii "...haya hayakuandikwa popote?
Kama hayakuandikwa popote wewe umeyatoa wapi?"

Je na hao waliyoyaandika waliyatoa wapi?
 
Samahani! Sina nia ya kukosoa mtazamo wako lakini kwa kauli yako hii "...haya hayakuandikwa popote?
Kama hayakuandikwa popote wewe umeyatoa wapi?"

Je na hao waliyoyaandika waliyatoa wapi?
Okay, ninamaanisha kuna mambo yalikuwa yanarithishwa vizazi kwa vizazi. Mfano kama ilivyoandikwa katika biblia.

Wewe unadhani Biblia tunayoisoma leo tangu Genesis imepatikanaje? Anaweza pia akatumia maneno ya biblia kuthibitisha. Lakini kuacha hivyo ni sawa kujadili mawazo yake.
 
Hata anavyofanya REALITY ni sawa! akiweza kutengeneza generation yake na propaganda vizuri basi mawazo yake yatarithishwa vizazi na vizazi na kuwa sawa na biblia.

Reality alichokataa ni kushikiwa akili na mtu au vikundi vya watu! (Hata mimi nakataa)
 
Unajua kwamba hata historia uhakikiwa ?

Muandishi wa kitabu amerejea kwenye vyanzo gani ?
Urithi wa nyaraka za enzi za mababu kwa michoro ya mapango na mengineyo mengi,pia kuna watu mpaka leo wanaishi kwa mfumo wa enzi
 
Back
Top Bottom