kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,071
- 1,428
Hili ni jaribio lililofanyika mwaka 1907
Na Daktari mbobezi ndugu Duncun MacDougal.
Daktari huyu alikuja na swali kwamba je!! Inawezekana nafsi (soul)ikawa na nzito flani unaopimika!!!
Ili kuja na majibu mtaalam aliingia kazini kufanya jaribio ambapo kwa mujibu wake
Alipima watu sita.
Kila mgonjwa alifuatuliwa uzito wake mpaka pale uhai ulipo mtoka
Ambapo akipima uzito wa maiti anakuta kuna uzito pungufu ya 21gramu!!!
Moja kwa moja akaja na jibu kuwa uhai au soul uko na uzito wa 21gramu!!!!
Wanasayansi wengi walipinga matokeo hayo wakisema kuwa hayo ni mawazo yake na siyo jaribio la kisayansi!!
Ili kitu kiweze kujaribiwa kisayansi lazima majibu yake yajirudie rudie
Lakini kwa kwa hili kuna muda imeoneakana majibu kutofautiana sana!!!
Wengine walisema kuwa sample size,au idadi ya watu aliyotumia huyo jamaa kisayansi haikibaliki!!!!
PAMOJA NA HAYO
jaribio kama hilo lilijaribiwa tena kwa wanyama kama kondoo na mbwa
Na kuonesha kuwa uzito kabla na baada ya kufa haubadiliki
Hii kuonesha kuwa wanyama hawana nafsi hai!!!
MWISHO!!