Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,492
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiuli, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
kinachogombewa si utukufu wahuo mji bali na wawatu wanagombea maeneo yao halali ya miji yao,pia lazima uelewe jerusalemu sio makumbusho ya wakristo tuu,pale kuna makaburi ya mitume wakubwa wanaoheshimiwa na waislam,kuna kaburi ya Maiam mama wa issa au yesu nk so ni uvivu wa kufikiria kuwa kinachofanyika jerusalem ni mgogoro kati ya waislam na wakristo
 
Wakristo wanahaki na huo mji kivipi?Huo mji ni mali ya waislam na wayahudi ndo kipindo chote cha mgogoro huo hutaona wakristo wakiingilia.Huo mji wa Yerusalem au Baytul mukadas ni mji wenye msikiti mkubwa sana na una historia kubwa ya uislam enzi kabla ya mtume Mohammadi(saw)
Kwa hiyo wakristo hawana mji wao mtakatifu? Maana hapo muslims watadai yote
 
Kimsingi wanaoupigania huo Mji Wa Jerusalem ni wayahudi ambao wanatambulika kama dini ya Ibrahim...Wayahudi ndio wenye kiu ya kuutwaa Mji huo kuliko waislam na wakristo sababu hata Yesu Kristo alipokuja aliikuta dini ya kiyahudi na alishiri ibada zao ktk sinagogi
Nani mmiliki halali?
 
Sijaona tija ya hii kitu yako.
Unataka watu wotoe maneno mabaya juu ya imani za wenzao?
Kivuruge
Hiyo miji haifanyi mtu akapata chochote,kama imani yako ni haba usitegemee kwenda moja ya hyo miji ili ukawe bora
Kugombea miji ni uhaba wa maarifa,none of them can do wonders excpt u n ur faith
Maisha ya funza ni mafupi sana,chunga usiwe na hyo akil
 
Ni kweli mkuu pale kuna kabuli la mariamu mama yake nabii issa LAKINI Pale hakuna kaburi la Mariam mama yake Yesu kristo aliye hai maana alipalizwa mbinguni...
Ndo maana sisi wakatoriki hua tuna sherehe ya Kupalizwa kwa Bikra Maria..

Amen
kinachogombewa si utukufu wahuo mji bali na wawatu wanagombea maeneo yao halali ya miji yao,pia lazima uelewe jerusalemu sio makumbusho ya wakristo tuu,pale kuna makaburi ya mitume wakubwa wanaoheshimiwa na waislam,kuna kaburi ya Maiam mama wa issa au yesu nk so ni uvivu wa kufikiria kuwa kinachofanyika jerusalem ni mgogoro kati ya waislam na wakristo
 
sasa mliruhusu vp makumbusho yenu ipelekwa italy
Ni kweli mkuu pale kuna kabuli la mariamu mama yake nabii issa LAKINI Pale hakuna kaburi la Mariam mama yake Yesu kristo aliye hai maana alipalizwa mbinguni...
Ndo maana sisi wakatoriki hua tuna sherehe ya Kupalizwa kwa Bikra Maria..

Amen
 
Sijaona tija ya hii kitu yako.
Unataka watu wotoe maneno mabaya juu ya imani za wenzao?
Kivuruge
Hiyo miji haifanyi mtu akapata chochote,kama imani yako ni haba usitegemee kwenda moja ya hyo miji ili ukawe bora
Kugombea miji ni uhaba wa maarifa,none of them can do wonders excpt u n ur faith
Maisha ya funza ni mafupi sana,chunga usiwe na hyo akil
Pole pole Boscco, kama mada imekuboa pita kimya wengine wajadili
 
HAHAHAHA WANAKUAMBIA KUWA UISLAMU ULIKUWEPO KABLA YA MTUME MUHAMAD.HISTORIA NA VITABU VYA DINI VIKO WAZI.UISLAMU ULILETWA NA MUHAMAD.KABLA KULIKUWA HAKUNA KITU KINAITWA UISLAMU

kwanza elewa uslam ni nini na maana yake maana yake ni kumwamini mungu mmoja kuna kufa kuwaamini mitume na kuwaaheshimu wote kuna mwisho khiyama huo ndio uislam na kuanzia adam mpaka yesu issa wote waliamini hivyo ndio maana ya uislam na kila mtume alitumwa kwa watu wake tu sio kwa wote yesu alisema nimetumwa kwa kondoo waliopetea wa wana wa israel tu sio kwa wazaramo sasa muhamad katumwa kwa watu wote na kapewa sala na sheria
 
Back
Top Bottom