Rough player
Member
- May 26, 2018
- 39
- 119
Natumaini wote wazima ndugu wa JF,
Rejea kichwa cha habari hapo juu kwa kweli nimekua nikitafuta majibu ya hilo swali lakini nimekosa jibu sahihi
Inasemekana na kusadikika ukristo ulikuja baada ya yesu inamaana huko nyuma kabla ya yeye kuja ukristo haukuwepo
Vile vile kwa uislam inasemekana kwamba huko nyuma kabla ya muhammad hakukuwa na neno linaloitwa uislam inamaana na inawezekana manabii na mitume waliopita hawakuwa wakristo wala waislam
Swali langu ni hili je hao manabii kama mussa, yusuph, ibrahim, suleyman yakobo walikua dini gani??
Nawasilisha