mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,757
Tangu utotoni mpaka nakua nimekuwa nikisikia simulizi nyingi sana za mambo ya kuogofya, mambo ya kishirikiza, walozi, uganga, wakonikoni,
Sasa hapa kwenye uganga mara nyingi watu huenda kueleza matatizo yao ili wapate tiba na hii ni kwa wanao amini hupona ila kwa wasio amini huona kama kanjanja tu,
Mtaalamu hufanya mambo yake mpaka mwisho kama nikuchanjwa chale, kuogeshwa dawa kulingana na tatizo uliloeleza pia maelekezo mengine hupewa baada ya shughuri kumalizika,
Kumekuwa na kauli au maagizo/maelekezo, kuwa Unapopewa Dawa kwa mtaalamu pindi unapoondoka hutakiwi kuaga wala kugeuka nyuma,pia wengine husema unapopanga safari ya kwenda kwa mtaalamu ukikutana na mtoto wa kiume basi mambo yako yatakuwa sawa
swali ni je nini hutokea endapo ukigeuka nyuma na ukiaga
Cc Mshana Jr