Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,766
- 107,359
Helo guys wazima nyie?
Kuna maswali na hoja tofauti nimekua nakutana nazo kuhusiana na watu wanaotumia mkono wa kushoto (Left handed peoples).
Baadhi ya hoja na maswali hayo ni:-
Kuna maswali na hoja tofauti nimekua nakutana nazo kuhusiana na watu wanaotumia mkono wa kushoto (Left handed peoples).
Baadhi ya hoja na maswali hayo ni:-
- Kwanini mtu anayetumia mkono wa kushoto hua ana shabaha ya kupiga vitu na anaweza kurusha jiwe umbali mrefu zaid ya mtu mwenye kutumia mkono wa kulia
- Eti ni kweli mtu anayetumia mkono wa kushoto muda wake wa kuishi (Life span) hua ni mdogo kulinganisha na watu wanaotumia mkono wa kulia.
- Kwanini kama umezoea kula kwa kutumia mkono wa kulia siku ukitumia mkono wa kushoto hushibi vizur au hushibi kabisa (Hili nimejaribu kulifanya na nikaona sishibi)