Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,333
- 29,122
Wanabodi
Ni muda mrefu wanaJF kadhaa wameandika ssna kuhusiana na haja ya kuwa na kurugenzi kamili ya ujasusi inayoshughulikia sera yetu ya nje na uhusiano wa Kimataifa.
Jana tarehe Jumanne, tulitembelewa na Waziri mdogo wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika. Lengo na madhumuni ni maslahi ya Uingereza. Huu ni mfano mdogo wa nchi zinazotambua ujasusi kwenye masuala ya kiuchumi na diplomasia zinavyowekeza huko.
Kenya imerudi upyaa kwenye kutuzunguka kiuchumi na kututumia lakini sisi bado tunawachekea tukidhani ni ndugu zetu.
Ninapenda kumshauri Rais wetu. Asipoteze wakati, nguvukazi na wataalam wengi anao. Aanzishe hii kurugenzi ili kusaidia kufungua nchi bila kuingia mitego ya ndani na nje.