Hii sare ya Askari anayemlinda Rais Magufuli ni ya jeshi gani katika majeshi ya nchi yetu?

isupilo

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
303
1,254
image.png
image.png

Wakuu aina hii ya sare (uniform) sijawahi kuiona katika moja ya majeshi ya Tanzania.Kuanzia polisi,JWTZ,Mgambo wala kwingineko.Je naweza kufahamishwa aina hii ya sare ni mpya kwa majeshi yetu au?

Kama si mpya;Je aina hii ya sare huvaliwa na kikosi gani cha ulinzi hapa Tanzania?Hawa jamaa nimewaona leo wakimlinda Rais pale Saba saba na silaha nzito nzito za moto.Tupeane maarifa
 
View attachment 533600 View attachment 533600

Hizo mbwembwe tu ...je ukiona robot ?
 
Presidential Protection Guard..ndio sare zao
 
Wale walioenda na Bashite Clouds...huwa ni nadra sana kutumika nje ya ofisi.Ukiona hivyo,ujue anayelindwa kuna kitu amehisi..Anazidi kujilinda

Hawatoki bila ruhusa yake,ndio maana walipoonekana pale Clouds,wenye kujua walijiuliza sana wakaamua kuchutama.Bashite ana nguvu sana tofauti na Ruge na Kusaga walivyomchukulia.

Kama Ndondo Cup kaitia mchanga kwa kutoa kibao cha Wanyama Street,hiyo Fiesta sijui itakuwaje...na haya ya Kibiti?Tutaambiwa usalama wa nchi upo mashakani kwenye mikusanyiko kama Fiesta
 
Back
Top Bottom