Tanzania's Presidential Protection Unit (PPU)

Mlenge

Verified User
Joined
Oct 31, 2006
Messages
497
Likes
218
Points
60

Mlenge

Verified User
Joined Oct 31, 2006
497 218 60
Does Tanzania have special unit for the protection of the President? (Presidential Protection Unit, PPU)? Or is "Usalama wa Taifa" one big PPU?

Apart from PPU duties, does 'usalama wa taifa' have anything else THEY know they are supposed to be doing?

How do we gauge SUCCESS of those non-PPU duties?

For instance, Uganda wana PPU, kazi yake kumlinda Museveni na walio karibu naye. This frees up the rest of usalama wa taifa uganda. Kwa mfano, Uganda wana counter-espionage unit ambayo ina operate outside Uganda.

Kenya usalama wa taifa wao unapelekwa kisomi zaidi. Niliona tangazo la kazi ya usalama wa taifa kenya KWENYE GAZETI.
 
Kibunago

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2008
Messages
288
Likes
7
Points
0

Kibunago

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2008
288 7 0

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2008
Messages
5,139
Likes
733
Points
280

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2008
5,139 733 280
KWA HIYO MUKULU WE UNATAKA WALINDWE MA=MUSEVENI NA WALIOPO KARIBU YAKE TU..!
MBONA HAPA KWETU TUNAONA WAKUU WA MIKOA WANALINDWA NA KIKOSI MAALUMU CHA USALAMA WA TAIFA CHA FFU?
HUKO UGANDA WANAYO HII?
KUHUSU JUTANGAZWA KWENYE GAZETI MBONA NIMEWAHI SOMA KUWA VYOMBO VYA USALAMA WA TAIFA VINATAFUTA VIJANA KWA AJILI YA KUJIUNGA NA JESHI? NA HIVI MAJUZI TU VIJANA WAMEPELEKWA CCP MOSHI TAYARI KUPATA MAFUNZO YA USALAMA WA NCHI YETU/.....!
VIKOSI MAALUMU VIPO VINGI TU KWENYE MAJESHI YETU......!
1. ANT-ROBBERY....a.k.a TZR
2.ANT-DRUGS UNIT
3......!
 
nyaunyau

Senior Member
Joined
Oct 28, 2009
Messages
122
Likes
8
Points
35

nyaunyau

Senior Member
Joined Oct 28, 2009
122 8 35
KWA HIYO MUKULU WE UNATAKA WALINDWE MA=MUSEVENI NA WALIOPO KARIBU YAKE TU..!
MBONA HAPA KWETU TUNAONA WAKUU WA MIKOA WANALINDWA NA KIKOSI MAALUMU CHA USALAMA WA TAIFA CHA FFU?
HUKO UGANDA WANAYO HII?
KUHUSU JUTANGAZWA KWENYE GAZETI MBONA NIMEWAHI SOMA KUWA VYOMBO VYA USALAMA WA TAIFA VINATAFUTA VIJANA KWA AJILI YA KUJIUNGA NA JESHI? NA HIVI MAJUZI TU VIJANA WAMEPELEKWA CCP MOSHI TAYARI KUPATA MAFUNZO YA USALAMA WA NCHI YETU/.....!
VIKOSI MAALUMU VIPO VINGI TU KWENYE MAJESHI YETU......!
1. ANT-ROBBERY....a.k.a TZR
2.ANT-DRUGS UNIT
3......!
tofautisha kati ya usalama wa taifa na polisi hizo ni idara mbili tofauti kabisa FFU ni kikosi cha polisi.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
40,847
Likes
14,249
Points
280

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
40,847 14,249 280
Kiranga I did understand what is the meaning of your question?The real question here is, does Tanzania have a president?
Do you mean that you did NOT understand my question?

Mimi naona hatuna rais, tuna rais jina, sasa inakuwa vigumu hata vitengo vingine vya rais kuwapo, maana rais mwenyewe kutwa kupunga madogoli na ngoma, misiba, kuzurura.Kuzurura kwenyewe not only hana data, anakosa hata common courtesy ya kujua kwamba kama mtu kapewa floor na moderator hutakiwi kumuingilia (angalia video ya Davos). Aibu tupu.

Hatuna rais.

Sasa usitegemee huyu non-president akaenda kuweka mikakati ya ulinzi and all that jazz.

Nchi iko kwenye autopilot hii, siku itakapokuja kuhitaji mtu wa kufanya manouvres za landing ndipo mtakapoona utupu wa Kikwete kwa undani.

And don't let nobody give you that "rais anafaa ila anaangushwa na watendaji wake" crap. It is so tired.
 
Bulesi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Messages
6,730
Likes
719
Points
280

Bulesi

JF-Expert Member
Joined May 14, 2008
6,730 719 280
Nakubaliana na wewe Kiranga nchi iko kwenye AUTOPILOT; rais gani anashindwa hata kuteua wakuu wa mashirika , watu wapo kwenye acting capacity zaidi ya miaka miwili!! Pengine anangoja mpaka baada ya uchaguzi atoe fadhila!!Inasikitisha sana.
 
Joined
Dec 16, 2009
Messages
78
Likes
1
Points
0
Joined Dec 16, 2009
78 1 0
Yes in Tanzania we do have the PPU. Majority ya Staff wa PPU are stationed at the Kijitonyama Residence. You will take note that these are not trained at Mbweni like the ussual TISS operatives but at the Special camp for commandos located in Zanzibar. I cant say more because of the requirements of the TISS Act.

Does Tanzania have special unit for the protection of the President? (Presidential Protection Unit, PPU)? Or is "Usalama wa Taifa" one big PPU?

Apart from PPU duties, does 'usalama wa taifa' have anything else THEY know they are supposed to be doing?

How do we gauge SUCCESS of those non-PPU duties?

For instance, Uganda wana PPU, kazi yake kumlinda Museveni na walio karibu naye. This frees up the rest of usalama wa taifa uganda. Kwa mfano, Uganda wana counter-espionage unit ambayo ina operate outside Uganda.

Kenya usalama wa taifa wao unapelekwa kisomi zaidi. Niliona tangazo la kazi ya usalama wa taifa kenya KWENYE GAZETI.
 
Mlenge

Verified User
Joined
Oct 31, 2006
Messages
497
Likes
218
Points
60

Mlenge

Verified User
Joined Oct 31, 2006
497 218 60
Bandugu,

Muundo wa kuwa na usalama wa taifa ambao kazi yao wanayoijua ni Ulinzi wa Rais na wa Chama tawala, unahitaji mabadiliko. Huenda ni muundo huo, wala si upeo wa walioko kwenye huo usalama wa taifa, unaoruhusu wakae kimya wakati watawala wa Tanzania wanasaini mikataba ya EAC.

EAC itakuwa na 'usalama wa taifa' wa EAC, ambao huu ulioko utakuwa ni kijisehemu. Yaani hata kama hawana uzalendo au upeo wa kuelewa Tanzania's doom and gloom in EAC, walau basi wangetetea 'ulaji' wao kwa kuhakikisha taasisi yao haiwi chini ya mtu mwingine, kama ambavyo wabunge wamesurrender madaraka yao kwa bunge la EAC.
 
tgeofrey

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2008
Messages
532
Likes
1
Points
35

tgeofrey

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2008
532 1 35
Where do you get what ever u want to say, all about us you have to refers how chief mkwawa and all the chiefs security was not the way the western are doing. We prefer our own way
 
Mlenge

Verified User
Joined
Oct 31, 2006
Messages
497
Likes
218
Points
60

Mlenge

Verified User
Joined Oct 31, 2006
497 218 60
tgeofrey,

Concern here is not [only] how the president is guarded, but how the nation is made safe. For example, Tanzania presence in EAC is something that shouldn't have happened if we had "Usalama wa Taifa" whose job description is at least a little more than a "Presidential Protection Unit".
 
Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
26,367
Likes
26,409
Points
280

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
26,367 26,409 280
For instance, Uganda wana PPU, kazi yake kumlinda Museveni na walio karibu naye. This frees up the rest of usalama wa taifa uganda. Kwa mfano, Uganda wana counter-espionage unit ambayo ina operate outside Uganda.
.

Ulinzi wa Museveni ni balaa, achano nao kabisa, in fact ni kero!. Jamaa analindwa licha ya wanausalama wake, pia hutembea na kikosi kamili cha Jeshi chenye wajeshi 33, askari 30, na viongozi 3, 2nd Lt, Lt na Capt. hapo sijamuhesabu Maj. ambaye ni ADC !

Kila wakati ni msafara wa magari zaidi ya 20!, hata akienda kwenye shughuli kwenye hoteli, wanafunga barabara muda wote anapokua hapo kitu ambacho ni kero haina mfano kwa wageni wa hoteli husika. Nimeshuhudia comvoy la watalii na magari yao likizuiliwa hotelini kisa Museveni, masikini wazungu wale waligeuka wekundu!.

PPU Tanzania ipo, ila inahusisha na wale wanene wote watano. P, VP, PM,
P-ZnZ na CM. Makao yao ni pale Kijitonyama.
 
Mchaga

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
1,376
Likes
13
Points
135

Mchaga

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
1,376 13 135
Where do you get what ever u want to say, all about us you have to refers how chief mkwawa and all the chiefs security was not the way the western are doing. We prefer our own way
Mkuu nakubaliana na wewe lakini tukubaliane kuwa Tanzania sio kisiwa tujifunze kwa wengine pia...
 
Mchaga

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
1,376
Likes
13
Points
135

Mchaga

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
1,376 13 135
Nataka kuona mambo kama haya katika TISS
_________________________________________________________________

Knowledge and Information Management Officer - Developmental and Full Performance

Work Schedule:Full TimeSalary:$57,129 - $113,007Location:Washington, DC metropolitan area
CIA is seeking highly motivated individuals (developmental through full performance) who want to be part of the Information Management program supporting the needs of the world's premier intelligence organization and its partners. The incumbent will be responsible for implementing federal guidelines and records and knowledge management solutions including taxonomies, metadata management, electronic recordkeeping, and direct information management support to customers.
The incumbent will be assigned to a team responsible for a wide variety of tasks including: requirements development and analysis; information systems development; records management support; file plan development and implementation; automated categorization; leveraging legacy data; access controls; archives and preservation; and related marketing, training, and awareness activities.
Minimum requirements include a degree in Library Science (MLS/MIS), Computer Science, Management Information Systems, or Business. Candidates with Liberal Arts degrees (Political Science, History, etc.) may also apply. Candidates should also possess:
  • Strong interpersonal skills
  • Strong customer service skills
  • Strong verbal and written communication skills
  • Strong analytical skills
  • Strong presentation skills
  • Strong teamwork skills
  • Strong technology skills
  • Strong search skills
A good understanding of Information Management (laws, regulations, practices, etc.) and information systems is highly desired.
All applicants must successfully complete a thorough medical and psychological exam, a polygraph interview and an extensive background investigation. US citizenship is required.
To be considered suitable for Agency employment, applicants must generally not have used illegal drugs within the last twelve months. The issue of illegal drug use prior to twelve months ago is carefully evaluated during the medical and security processing.
Important Notice: Friends, family, individuals, or organizations may be interested to learn that you are an applicant for or an employee of the CIA. Their interest, however, may not be benign or in your best interest. You cannot control whom they would tell. We therefore ask you to exercise discretion and good judgment in disclosing your interest in a position with the Agency. You will receive further guidance on this topic as you proceed through your CIA employment processing.
To Apply:
Make a note of the position(s) that interest you, as you can apply for up to four positions in one application. DO NOT submit multiple applications; this will only slow the review of your application, and delay processing. Please read the Application Instructions carefully before you begin the online application process.
Application Instructions
An equal opportunity employer and a drug-free work force.
 
Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,207
Likes
281
Points
180

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,207 281 180
Yes in Tanzania we do have the PPU. Majority ya Staff wa PPU are stationed at the Kijitonyama Residence. You will take note that these are not trained at Mbweni like the ussual TISS operatives but at the Special camp for commandos located in Zanzibar. I cant say more because of the requirements of the TISS Act.
you are just naive, wale ni walevi wa gongo tu. Acha kudanganya
 
Nanu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
1,224
Likes
5
Points
135

Nanu

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
1,224 5 135
.

Ulinzi wa Museveni ni balaa, achano nao kabisa, in fact ni kero!. Jamaa analindwa licha ya wanausalama wake, pia hutembea na kikosi kamili cha Jeshi chenye wajeshi 33, askari 30, na viongozi 3, 2nd Lt, Lt na Capt. hapo sijamuhesabu Maj. ambaye ni ADC !

Kila wakati ni msafara wa magari zaidi ya 20!, hata akienda kwenye shughuli kwenye hoteli, wanafunga barabara muda wote anapokua hapo kitu ambacho ni kero haina mfano kwa wageni wa hoteli husika. Nimeshuhudia comvoy la watalii na magari yao likizuiliwa hotelini kisa Museveni, masikini wazungu wale waligeuka wekundu!.

PPU Tanzania ipo, ila inahusisha na wale wanene wote watano. P, VP, PM,
P-ZnZ na CM. Makao yao ni pale Kijitonyama.
Hata kwao motorcade zipo na is even nuisnace than ours in Africa!
 
Forum statistics

Threads 1,204,864
Members 457,581
Posts 28,173,731