Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Sio kitu cha kawaida kabisa,mpnz wangu anaenda siku ya nane sasa ana bleed,tulienda hospital akapewa dawa,kidogo alikuwa sawa,lakini kwa sasa hali imejirudia tena,ana bleed tuuuuu!!!wataalamu wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kuuona mwaka mpya ni jambo la kheri! hongereni wakuuu, na poleni kwa kusherehekea! ningeweza kusubili sikukuu ipite lakin mbele ya tatizo ngumu sana kuvuta subira!!! kama kichwa kinavyojieleza...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Natumani mu wazima ndugu wanajamvi Ninaomba ushauri wenu, katika msimu huu wa sikukuu i'm going to meet with my husband na tunaishi tofauti kwa sababu za kikazi Sasa hizi siku ambazo tutakuwa...
0 Reactions
49 Replies
17K Views
Habarin wana jukwaa hili la wataalam wa afya zetu..mimi kuna kitu naomba madaktar mnisaidie.. Mtu kutokwa na udenda mdomoni..pengine akiwa amelala au mwingine unakuta amekaa tu gafla udendan...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua hivi kipimo cha kupima mimba kwa njia ya mkojo kinaweza toa Majibu yasiyo sahihi?
0 Reactions
8 Replies
27K Views
Habarini za saa hizi wapendwa, Jamani eti kichwa kuuma na mwili kuuma mara baada ya siku moja baada ya ku 'do' (kufanya mapenzi) ni dalili za ujauzito au ni kuchoka tu? Maana naona ni mapema...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Wanajamvi naomba msaada wa hospitali yenye huduma nzuri Mjini Mwanza.Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu.. Wadau ningependa kujua je kuna uwezekano wa mswaki kubaki na vimelea vya ugonjwa baada ya mgonjwa kupona? Namaanisha kwamba mgonjwa anaweza kupata vimelea vya ugonjwa vilivyobaki...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
0 Reactions
74 Replies
46K Views
Wakuu, nimekuwa na tatizo la kuchubuka ulimi, hasa sehemu ya mbele ya ulimi. Nimeenda hospitali mara zaidi ya tatu, na nimekuwa nikipewa vidonge vya vitamini (sina uhakika ni vitamini A, B au C)...
0 Reactions
19 Replies
14K Views
Mimi na mke wangu tumeoana miezi minne iliyopita. Tumejaribu sana kufuata taratibu zote ikiwemo kuhesabu siku zake za urutibisha lakini hatujafanikiwa... Je, nifanyeje kuweza kufanikisha hili...
1 Reactions
49 Replies
9K Views
Nikiwa katika period miguu na kiuno kinauma sana. Hospital wamenipa dawa ambazo nameza kila mwezi nikikarbia kuingia tena. Nani anajua dawa ya kuponyesha kabisa?
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Jana yalianza maumivu ambayo naona leo yamepungua, ila nashangaa kuona uvimbe!! Sijajua exctly kipi kimesababisha...ila juzi niliendesha gari kwenye rough road karibia 8km...kabla ya hapo...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone? Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu.
0 Reactions
5 Replies
21K Views
Unajihisi unataka kuamka na upo kwenye akili za kawaida kabisa lakini hauwezi kusogeza hata msuli mmoja wa mwili wako hata ukipiga kelele sauti haisikiki. Nina maswali kuhusiana na hili (1) je hii...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Kwa kifupi sana, nimesikia mitaani, eti ukimtahiri mtoto mdogo toddler (sio mchanga,) uume wake hautaongezeka, yaani wakati sahii afikishe miaka saba na kuendelea ama awe mchanga kabisa. Naomba...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Mwenzenu nina shida sana. Nilinenepa na kwenda kupima nikakuta nina kilo 125.8 wakati urefu wangu ni 198 nikashauriwa niwe na kilon 98 au 90. Nikaanza kufanya mazoezi na kupunguza sana msosi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Watu wengi wananunua mashuka kutokana na mapenzi yao, lakini hawafahamu rangi ya shuka ina uhusiano na afya. 1. Rangi ya chungwa Shuka ya rangi ya chungwa inaweza kusaidia kuongeza hamu ya kula na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau. Naomba mnijuze hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki Tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi,,? Au changa La macho ,?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau naomba mnijuze, Hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi? Au changa la macho?
0 Reactions
22 Replies
27K Views
Back
Top Bottom