Wakuu, nimekuwa na tatizo la kuchubuka ulimi, hasa sehemu ya mbele ya ulimi.
Nimeenda hospitali mara zaidi ya tatu, na nimekuwa nikipewa vidonge vya vitamini (sina uhakika ni vitamini A, B au C).
Nikitumia dawa hizo, michubuko huisha na baada ya siku kadhaa huanza tena.
Nisaidiane, nini chanzo cha tatizo hili? Na nini tiba yake ya kudumu?