Unaweza kufanya mapenzi siku za hatari na usipate mimba?

Apr 28, 2015
26
4
Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
 
unaweza fanya hizo siku usipate mimba ,... mimba ni mjumuiko wa mambo mengi mwenzio anaweza kutoa mbegu hazina nguvu ya kutungisha kiumbe au wewe mayai yako yakawa hayajapevuka vyema kuweza kuruhusu utungaji wa mimba,,... jambo jingine position ya kufanya hilo tendo kuna style nyingine zinafanya mbegu zisiweze kufikia yai kwa wakati na wakati mwingine kufika mbegu zimechoka hoi zikaishia kufa tu.....
kinywaji hasa na vyakula utavyotumia vinaweza sababbisha hata kama mimba imetungwa ikaharibika in early stage bila ya wewe kujua ,.. wanawake wengi wanapata tatizo hili la mimba kutoka mapema bila ya wao kujua... madaktari wanweza elezea hili swala la mimba kuharibika ndani ya siku tatu hadi wiki mbili bilawatu kujua ...
MUHIMU: tumia kifo cha mende kama unahitaji mimba huku mkifanyana kimahaba na pole pole ...
usitumie vinywaji vichungu sana, wengine hutumia sprite baridi sana au coca baridi au dawa za minyoo au baadhiya dawa baada ya tendo baadhi ya mabinti huwa wanasababisha mimba isitungwe....
 
labda kama huo " mtalimbo " wa mumeo si imara lakini ukikutana na " mpini " wa uhakika ambao unalishwa sana karanga mbichi, mihogo mibichi na kunyweshwa maziwa ya mtindi au fresh ukiitenga tu hiyo " nyape " yake utabeba mimba kila mwaka.
 
NDIO
Na sababu ni hizi hapa:-
  • mwenzi wako ana hormone imbalance
  • ulitumia contraceptive methods
  • umefungwa kizazi (kiroho/kichawi)
  • una utasa/mayai yako hayana kiini
  • hujapata kibali cha muumba
*Ndio maana tunaaswa kama wahitaji mtoto omba sana na jitakase ili mungu aruhusu neema yake kwako
 
Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!

Ndio inawezekana. Mimba hutungwa endapo mbegu ya kiume itakutana na yai la wanamke. Kama mbegu ya mwanaume haitafanikiwa kukutana na yai la mwanamke basi hutapata mimba.
 
unaweza fanya hizo siku usipate mimba ,... mimba ni mjumuiko wa mambo mengi mwenzio anaweza kutoa mbegu hazina nguvu ya kutungisha kiumbe au wewe mayai yako yakawa hayajapevuka vyema kuweza kuruhusu utungaji wa mimba,,... jambo jingine position ya kufanya hilo tendo kuna style nyingine zinafanya mbegu zisiweze kufikia yai kwa wakati na wakati mwingine kufika mbegu zimechoka hoi zikaishia kufa tu.....
kinywaji hasa na vyakula utavyotumia vinaweza sababbisha hata kama mimba imetungwa ikaharibika in early stage bila ya wewe kujua ,.. wanawake wengi wanapata tatizo hili la mimba kutoka mapema bila ya wao kujua... madaktari wanweza elezea hili swala la mimba kuharibika ndani ya siku tatu hadi wiki mbili bilawatu kujua ...
MUHIMU: tumia kifo cha mende kama unahitaji mimba huku mkifanyana kimahaba na pole pole ...
usitumie vinywaji vichungu sana, wengine hutumia sprite baridi sana au coca baridi au dawa za minyoo au baadhiya dawa baada ya tendo baadhi ya mabinti huwa wanasababisha mimba isitungwe....

Safi sana nataka nikupatie bia moja baridii ila naona ni kama bado asubuhi sana
 
Tumia ladypepeta na njia nyingine za kupanga uzazi hutapata mimba.
 
Back
Top Bottom