Mimi na mke wangu tumeoana miezi minne iliyopita. Tumejaribu sana kufuata taratibu zote ikiwemo kuhesabu siku zake za urutibisha lakini hatujafanikiwa...
Je, nifanyeje kuweza kufanikisha hili?
Ushauri tafadhali..
===================
Ngoja nikupe maelezo mafupi kusuhu ugumba.
Sterility is a condition where by a couple don't conceive after doing unprotected sex at least for1 year (NB: the sex must be completed in vagina)
Tafsiri :
Ugumba ni hali inayotokea kwa mume na mke kufanya tendo la ndoa bila njia yoyote ya kuzuia mimba, kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kupata mtoto. Na tendo lazima liwe limekamilika yaani mwanaume afike mshindo ndani ya uke.
Na cha muhimu kabisa baada ya tendo mwanamke asijisafishe baada ya tendo kwa takribani masaa 6.
( Sio baada ya tendo mwanamke anakimbilia kujisafisha)
1. Kwanini mwaka mmoja?
Kwa sababu kibaiolojia mwanamke anakuwa na mzunguko mara 12 au 13 kwa mwaka ambazo Inatosha kutoa nafasi kwa mimba kutunga
2. Kwanini tendo likamilike?
Imewahi kutokea kuna couple walikuwa hawapati mtoto kwa sababu Mwanaume alikuwa amalizie hadi mwish..
3. Kwanini ndani ya uke?
Kuna kesi zingine mwanamke anakuwa hana uke ( hii ipo kibaiolojia zaidi ila ukipata muda Google : mayer-rokitansky-kuster-hauser-syndrome)
4. Kwanini masaa 6 kabla hajajisafisha
Mbegu za kiume zinatembea tarabibu hadi kufika kwenye mfuko ya uzazi. Kwahiyo kujisafisha haraka unapunguza nafasi kwa mbegu nyingi kusafiri kupevusha yai... Tunavyojua kwa binadamu mbegu milioni moja ila moja tu ndio inafanikiwa
Cha mwisho kama mnafatisha kalenda ya mzunguko wake.... Ni rahisi zaidi kama mwanamke anakuwa na menstrual cycle stable /constant yaani kama ni siku 28 ni 28 au 30 ni 30 ila kama sio constant yaani leo 28 mwezi ujao 31 mwingine 30 mwingine 28 kwa ukweli hiyo kalenda haitakuwa more effective
Katika miezi 12 ya mwaka bado kama miezi 8 au 9 kwa hiyo nafasi yako ya kutapa mtoto bado unayo usikate tamaa
NB : Samahani kwa maelezo meengiii

Last edited by a moderator: