Njia gani za muda mfupi huzuia mimba kuingia?

leirilwa

Senior Member
Sep 18, 2015
118
22
Natumani mu wazima ndugu wanajamvi

Ninaomba ushauri wenu, katika msimu huu wa sikukuu i'm going to meet with my husband na tunaishi tofauti kwa sababu za kikazi

Sasa hizi siku ambazo tutakuwa pamoja ni siku za kushika mimba according to my calender, naomba mawazo yenu nitumie njia gani ya kuzuia mimba kwa huu muda (temporary method).
 
habari yako

ingawa mimi sio mzuri sana katika mambo hayo! lakini kuna vidonge vinaitwa P-2. unakunywa kidonge kimoja ndani ya masaa 36 toka umefanya tendo la ndoa. hata kama ni siku ya hatari huwezi pata mimba.

Ingawa vidonge si vizuri lakini nafikiri kama ni mara moja au mara 2 nafikiri si mbaya.

huo ni ushauri wangu, kama kuna wataalamu watatoa maoni yao au ushauri zaidi basi si mbaya
 
I think unazungumzia morning after pillz ni vidonge vizuri vinaweza kuwa msaada kwa aliye andika uzi huu, na vinatakiwa vitumiwe within 72hrs after tendo.kwenye pharmacy zipo,
 
Usipende kutumia P2 kama peremende kwani zimetengenezwa kwa maana ya emergency na post arbotion care so hata ukizitumia inatakiwa isizidi twice in your life time. Ushauri wangu nenda kwa mtaalam kwenye kituo cha afya utapata ushauri mzuri sana sana
 
Nilisoma uzi umu ndani kwamba ukichanganya vijiko 3 vya majivu kwenye glass ya maji na ukanywa inazuia mimba.. Wenye kumbukumbu wanaweza quote Ile thread umu
 
Huna mpango wa kuzaa na huyo mume.?au wtoto wametosha?kafunge kizazi..kuepuka kunywa sumu..
 
Nilisoma uzi umu ndani kwamba ukichanganya vijiko 3 vya majivu kwenye glass ya maji na ukanywa inazuia mimba.. Wenye kumbukumbu wanaweza quote Ile thread umu

Wow this sounds amazing like 21st Century Anti Pregoo Discovery, kimbembe ni majivu ya aina zote au kuna Miti or Mkaa Special?
 
Mkuu nenda FB labda ndio jukwaa lako sahihi nasi hapa Jf inaonekana baadhi ya watoto wanaojiunga hapa Jf cku za karibuni ni wangese km huyu anaejiita bakari hata avatar yake inajieleza
 
1) Usifanya tendo
2)Ongea na mwenza mweleze wasiwasi wako ili mnapofanya yeye amalizie nje
3)Tumia Kondomu kama ikibidi kufanya
4) Usitumie vidonge vya aina yoyote kabisa
5) Hii iwe mara ya mwisho, kuanzia sasa fikiria mpango wa muda mrefu wa kuzuia hizo mimba kama bado unafikiria hivyo
 
habari yako

ingawa mimi sio mzuri sana katika mambo hayo! lakini kuna vidonge vinaitwa P-2. unakunywa kidonge kimoja ndani ya masaa 36 toka umefanya tendo la ndoa. hata kama ni siku ya hatari huwezi pata mimba.

Ingawa vidonge si vizuri lakini nafikiri kama ni mara moja au mara 2 nafikiri si mbaya.

huo ni ushauri wangu, kama kuna wataalamu watatoa maoni yao au ushauri zaidi basi si mbaya
ahsante kwa ushaur
 
Tofautisha tendo la ndoa na ngono! Kuna wanandoa na wanangono, zao la tendo la ndoa ni mtoto, lakini kwa wanangono mtoto ni haramu ,,swali kama ww c Mwana ndoa kwann ufanye ngono cku za kupata mimba?
 
Usipende kutumia P2 kama peremende kwani zimetengenezwa kwa maana ya emergency na post arbotion care so hata ukizitumia inatakiwa isizidi twice in your life time. Ushauri wangu nenda kwa mtaalam kwenye kituo cha afya utapata ushauri mzuri sana sana
thanks ndugu kwa ushaur
 
Back
Top Bottom