Msaada: Siku moja baada ya kufanya mapenzi kichwa na mwili kuuma

Dec 27, 2014
38
2
Habarini za saa hizi wapendwa,

Jamani eti kichwa kuuma na mwili kuuma mara baada ya siku moja baada ya ku 'do' (kufanya mapenzi) ni dalili za ujauzito au ni kuchoka tu?

Maana naona ni mapema sana. Wenzangu mnaoelewa mnisaidie..

Heshima kwenu..
 
Siku moja baada hiyo sio ya kwendana na mimba.

Na kama unataka mimba acha kuifikiria.

Nenda kwa Daktari au viungo vyako havijazoea ku do, au haufanyi mazoezi pia.
 
Back
Top Bottom