Naombeni msaada jamani,mp inaelekea siku ya nane sasa,na bado damu ni nyingi

mwambunnyara

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
518
208
Sio kitu cha kawaida kabisa,mpnz wangu anaenda siku ya nane sasa ana bleed,tulienda hospital akapewa dawa,kidogo alikuwa sawa,lakini kwa sasa hali imejirudia tena,ana bleed tuuuuu!!!wataalamu wa maswala haya tafadhali,naomba ushauri wenu,tutumie dawa gani inayoweza kumsaidia!!!?
 
Pole sana kwa mpenzi wako kuumwa na hayo maradhi ya Kutoa damu mfululizo dawa yake mimi ninayo ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa..Mawasiliano
 
Kama hajafanya uharibifu, basi inaweza kuwa ni hormonal change, rudini hospital apewe dawa
 
Last edited:
Pole yake,ila hilo nitatizo na linatokea kwa sababu flani either hormone imbalance au shida nyingine,nendeni hospital tena
 
Mwambunnyara nachelea kukushauri nitaharibu uhusiano wenu. Ila potelea mbali.

Ni hivi kama ametoa ujauzito kutumia dawa za kumeza na kuweka huko chini damu huwa inatoka kwa wingi kutegemea na mwanamke. Wengine damu itaacha kutoka after two weeks wengine zaidi. Kama amepewa flagil au metronidazole basi amechoropoa na hiyo flagil ni antibiotic asipate madhara.

Japo kuna sababu nyingi nzuri na za kweli lakini hii ni ya kufatilia.

All the best. Umeomba ushauri lakini.
 
Acha kutumia njia za uzazi wa mpango za vidonge... hayo ndiyo madhara yake.
 
Back
Top Bottom