Kuhusu Mswaki na Bacteria

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
11,224
17,079
Heshima kwenu..
Wadau ningependa kujua je kuna uwezekano wa mswaki kubaki na vimelea vya ugonjwa baada ya mgonjwa kupona? Namaanisha kwamba mgonjwa anaweza kupata vimelea vya ugonjwa vilivyobaki kwenye mswaki anaoutumia baada ya mgonjwa kupona..
 
Back
Top Bottom