Udenda-Denda..!!

Yieen

Senior Member
May 8, 2012
103
27
Habarin wana jukwaa hili la wataalam wa afya zetu..mimi kuna kitu naomba madaktar mnisaidie..
Mtu kutokwa na udenda mdomoni..pengine akiwa amelala au mwingine unakuta amekaa tu gafla udendan unatoka na wala sio "mteja"..lakn muda mwingine yupo tu smart..sasa je huu ni ugonjwa? Na kama ni ndio unasababishwa na nn..mchango tafadhalin.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom