Pregnant test inaweza kutoa majibu yasiyo sahihi?

Lis

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
471
346
Naomba kujua hivi kipimo cha kupima mimba kwa njia ya mkojo kinaweza toa Majibu yasiyo sahihi?
 
Wife alipima mwenyewe home au alienda hospital kupima
 
Ndiyo kama haijatengenezwa kwa usahihi au ikiharibika na pia mimba ikiwa chini ya wiki moja
 
Naomba kujua hivi kipimo cha kupima mimba kwa njia ya mkojo kinaweza toa Majibu yasiyo sahihi?
Kitaweza Kutoa Majibu Yasiyo sahihi kama Kitakuwa Kimeenda Nje Ya Quality.. kama kime-expire.. Kwahiyo unaweza Kupata

False Positive- Mtu hana Mimba Ila Chenyewe Kinaonyesha ana mimba

False Negative- Mtu anamimba Ila chenyewe kinaonyesha Hana Mimba


Ingawa UPT(Kipimo cha Mimba kwa Mkojo.) Unapima Siku 10 baada ya Ya Kusex siku y Hatari ila. Unaweza kupima kwa Njia Ya Damu siku 8 baada ya Kusex siku ya Hatari
 
Back
Top Bottom