Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Salaam wanaJf Jamani msaada ,mwenzenu Jana nlikula bia nyingi Sana na kucheza bakulutu hadi alfajiri Sasa hapa nlipo naandamwa na makengelee masikioni yani sisikiii fresh Si mnajua yale...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Inasemekana mtoto mdogo baada ya kuzaliwa mda wa kitovu kukatika ikitokea kikadondokea sehemu zake za siri na kama jinsia ya mtoto ni ya kiume basi atakuwa ni hanithi maishani mwake na ikitokea...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu ninafahamu humu kuna watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kuhusu afya. Tunaomba muongozo wenu wa namna wa kupata Giniasi wa kike. Tutashukuru sana kwa muongozo wenu
2 Reactions
74 Replies
7K Views
Habari za saizi wakuu, Ni matumaini yangu mpo salama, Naamini kuna watu humu wamewahi kuachwa au kuachika kisa kuwa na tabia ya kujikojolea kitandani wakati wa usiku, Baadhi ya wanandoa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
habari ndugu zangu, mwanangu anamwezi mmoja na wiki tatu. Shida ni kwamba analia sana akiwa anataka kucheua analia sana nifanyeje?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
MAMBO Manne Ambayo Hupaswi Kuyafanya Wakati wa Kulala..!!! Wataalam wa afya wamekuwa wakieleza kuwa kulala ni moja ya mambo muhimu kwa afya ya binadam. Licha wengi kutozingatia umuhimu wa kulala...
10 Reactions
71 Replies
14K Views
hi guys, am bow legged waswahili wanasema matege na wananzengo wanaita banio. njia gani naweza kutumia madaktari kama mnajua ili ni correct hiz bow legs zangu hata kama si kwa asilimia mia. am...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu. Kama Week 3 zilizopita mpaka Leo nimekuwa ni mtu wa kuwa na wasiwasi mwingi na woga kana kwamba nimefahamu kuna kitu kibaya mbele yangu. Lakini sina tatizo lolote linalonisumbua...
6 Reactions
182 Replies
13K Views
Wakuu naombeni msaada ni muda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Mimi ni kijana wa 29, Nimekuwa nikipata wakati mgumu kuhusu afya yangu, afya niliyokuwa nayo kipindi cha nyuma sasa naona kila siku inazidi kupungua, na nimesha kwenda vituo vya afya kupima afya...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni! Habari! Wadau nawashukuru wote mlionipa ushauri kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu. Ushauri wenu niliupokea na kuufanyia kazi kwa kadri...
5 Reactions
91 Replies
13K Views
Wanajukwaa! Salaam; Kuna ndugu yangu yuko Dar anatafuta dakari wa familia. Akiwa wa hospitali za rufaa itakua bora zaidi ili aweze kusaidia habari za vipimo nk. Hana tatizo la kiafya kwa sasa ila...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu humu ndani jamani. Ningeomba mnisaidie kujua kama kuna dawa ya kuacha ushoga au namna ambayo mtu anayefanya ushoga anaweza akasaidiwa kuacha. Nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 28...
9 Reactions
111 Replies
33K Views
tatazo la kutoka na vipele vigumu kwenye mashavu ya uke muda mwingine vinawasha muda mwingine haviwashi dawa nyingi zimedunda
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau habari ya asubui, nauliza kwa wataalam wa afya kwamba maziwa ni tiba au kinga ya kweli %100 kutibu magonjwa ya tokanayo na vumbi kali.. Jamii mtaan inaamin kwamba ukitoka kwenye vumbi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wanabodi mimi ni miongoni mwa watanzania ambao hawana mwanga kuhusiana na maswala mazima ya sayansi za tiba. Majuzi nimeenda hospitali flani hapa kwenye jiji la Bashite nikamkuta doctor mmoja...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habar wakuu Mim ni kijana mmoja lijali na mstaarabu na sipend kumforce mtu katika mapenz sasa ninahii kitu huwa inaniumiza sana kichwa yan nikikaa muda mrefu bila kujamiana siku nikiwa na mwanamke...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari za leo wana jamvi, Naomba msaada wa kitabibu nimepata ugonjwa wa zinaa nahisi ni gono maana usaa unatoka kwa wingi na pia nasikia maumivu makali wakati wa kujisaidia haja ndogo. Nimepata...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikua nikisikia tu kuwa unaweza ukashiriki kimapenzi na mtu aliyeathirika na usipate maambukizi, imemtokea kwa bro wangu, alioa miaka miwili iliyopita na kabla hawajafunga ndoa walipima wote...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…