msaada haraka: mtoto analia sana akiwa anataka kucheua

mwalisa jr

Member
Aug 18, 2015
50
18
habari ndugu zangu, mwanangu anamwezi mmoja na wiki tatu. Shida ni kwamba analia sana akiwa anataka kucheua analia sana nifanyeje?
 
labda ana acid nyingi tumboni inamuunguza wakati maziwa yanapanda kurudi mdomoni kwa ajili ya kucheua.
na inategemea umemweka mkao gani..principle ya ulishaji mtoto mchanga ni kwamba ukishampa maziwa kashiba umweke begani kwa dakika chache atacheua maziwa thn unamfuta unamlaza.sasa kama hutofanya hivo atacheua akiwa kalala na kuna uwezekano wa hayo anayocheua kupitia puani lazima aumie.
 
Back
Top Bottom