Mi sio Dr ila angalia vifaa unavyotumia kunyolea inaweza kua sababu...poletatzo la kutoka na vipele vigumu kwenye mashavu ya uke ...muda mwingine vinawasha muda mwngine haviwash dawa nyingi zimedunda
Ni ukosefu wa nidhamu na ustaarabu unapoleta mizaha kwenye mambo muhimu ya kiafya.Usigekuwa ulikuwa unakatia kachumbari huko na kuweka ndimi na tangawizi kisa kuniridhisha mimi!...mnk utandawazi huu umetuharibu kweli