Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jaman nna mgonjwa wangu nimekuja kutibiwa hapa mhimbili so naomba kama kuna mtu humu anafanya kazi hapa, naomba tuwasiliane anipatie mwongozo wa namna ya kupata matibabu kwa haraka, Au hata yeye...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wa ndugu, naomba madaktari mnisaidie. Mimi ni mjamzito wiki ya 23 mtoto wa kwanza nilimzaa kwa operation na alikaa wiki 2 tu akafa. Sababu niliambiwa njia ilifunguka hadi cm 6 ikagomea...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Habari wanaJF, sio vibaya kujifunza hili kuhusu afya. https://afyazone.org/what-to-eat-in-the-morning/
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanajamii jumapili njema. Kwa muda mrefu sana nimekua nikisikia kuhusishwa kitovu kuhusishwa na nguvu za kiume iwapo kitaangukia kwenye uume wa mtoto wakati akiwa mdogo. Inanisumbua sana...
1 Reactions
47 Replies
8K Views
KUHUSU USHOGA ---------------------------- Historia: Kwa ufupi tu, mapenzi yaJinsia moja hasa jinsia ya kiume yamekuwa yakipigwa vita miaka nenda miaka rudi katika maeneo mbalimbali duniani...
18 Reactions
70 Replies
24K Views
Ndugu habari za hapa naomba kujua kupiga chafya asubuhi niugonjwa au hali yakawaida? pia umalizapo kuoga nakuanza kupiga chafya njingi niugonjwa au nihali yakawaida asanteni.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari Jf Dr? Hivi majuzi nilipatwa na shida ikabidi nikimbizwe hospital haraka. Haraka nikapigwa drip bila hata vipimo. Wakati nipo kitandani ndipo utaratibu wa kuchukua damu kwa ajiri ya vipimo...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
ni wapi na wapi, na ikiwezekana bei pia
0 Reactions
13 Replies
11K Views
HOW HIV POSSITIVE SOMETIME CAN TEST NEGATIVE? HOW IS THAT POSSIBLE? SO WHICH TEST IS BEST TO CONFIRM IF SHE IS HIV NEG OR POSSITIVE IF SHE/HE IS ON TREATMENT BECOUSE IF YOU TEST WITH PCR YOU...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni msaada naitaji dawa izo tajwa
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Jamani Nina Mke huu mwaka wa tatu, tatizo nisipo safiri, nikiwa naye lazma nichape ndipo nilale, nisipo do usingizi hauji, muda muafaka na kikosa usingizi juu nisipo do shida nini?
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanasayansi nchini Marekani wamefanikiwa kupambana na maradhi yaliyokuwa sugu kwa dawa za kupambana na vijidudu yaani antibiotics tatizo ambalo lilikuwa tishio dhidi ya sekta ya afya duniani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamii forum. Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikuvutiwa sana na kazi ya ushauri na unasihi jambo lilonifanya kuwa mdau mkubwa na mfatiliji wa makala, vitabu na maandiko yanayohusu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wabobevu wa masuala ya afya ya mwanadamu,nimekuwa gizani kwa muda mrefu juu ya huu mstari ulionyooka katikati ya tumbo kwa mwanamke mjamzito,huwa una maana yeyote kuhusiana na ujauzito?
0 Reactions
16 Replies
29K Views
Habari za hapa jf? Samahani naomba kujua kama ni tatizo au ni kawaida kwa mtoto wa umri wa miezi 3.5 kunyonya kwa kubeep. Yaani ananyonya kidogo sana alafu anakua hataki tena. Bado hajaanza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ahsanteeni kwa woote walio nishauri kutumia pilipili manga katika uji kwa mama asietokwa na maziwa na alifanya hivyo na hivyo, hivi sasa maziwa yanamwagika kama bwawa la Mtera ahsanteni kwa...
2 Reactions
24 Replies
12K Views
Wana jf tumbo langu linaunguruma sana yaani waweza dhania nimemeza vyura kwani hukimbizana na kugonga kuta za tumbo.Sauti mpaka ninajishtukia kwani watu wanazisikia.Hivi tatizo ni nini?
1 Reactions
30 Replies
40K Views
Mjamzito anapaswa kuepuka ulaji wa kupita kiasi ili asinenepe kupindukia (Obesity). Kulingana na kijarida kiitwacho Krause’s Food, Nutrition and Diet Therapy, mtoto anayezaliwa akiwa na uzito wa...
2 Reactions
4 Replies
13K Views
Back
Top Bottom