Tiba kwa mpenzi anayekojoa kitandani.

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
4,467
11,358
Habari za saizi wakuu,

Ni matumaini yangu mpo salama,
Naamini kuna watu humu wamewahi kuachwa au kuachika kisa kuwa na tabia ya kujikojolea kitandani wakati wa usiku,

Baadhi ya wanandoa wanapitia kero hii sana sema huhifadhiana siri kwa sababu walisha kula kiapo cha pingu zamaisha,
Baadhi yao uzalendo huwashinda pale chumba kinapoanza kunukia kibeberu beberu na kuamua kuvunnja ndoa zao,

Usifadhaike ,

Kama una mpenzi, ndugu, jirani au mtoto mwenye tatizo la kukojoa kitandani leo ninamwaga tiba yake hapa ili mkapate kuwasaidia,

TIBA,
Ufuta mbichi (ambao hauja kaangwa),
Unapatikana sokoni,
Baada ya kuununua upepete ili kuondoa mchanga na vumbi,
Baada ya hapo tafuna vijiko vinne vya ufuta kutwa mara tatu, tumia kuanzia siku tatu na kuendelea,
Utapona kabisa na itabaki kuwa historia,
Hii imewasaidia wengi sana,

Kwa leo naishia hapa,

Ahsanteni.
 
Issue kama hii ingefaa ielezewe kisayansi zaidi.

Uweke sababu za kwanini watu wanakojoa kitandani.

Pia ueleze mechanism ya hiyo dawa, jinsi inavyofanya kazi mwilini.

Tofauti na hapo itakuwa ni superstition.........Shukrani kwa kushea.
 
Wewe Ndio unaendekeza Huo u superstition. Aandike hayo yote Kama hajui?? Na anajua tatzo ni kukojoa tu,ameona watu wanalo hilo tatzo na linawatesa wengi Kama kaamua kuwasaidia unaanza sababu nn nn...sababu my Ass*
 
Kwa akili kama hizi, haishangazi kuona uchawi unastawi sana Africa.
 
Issue kama hii ingefaa ielezewe kisayansi zaidi.

Uweke sababu za kwanini watu wanakojoa kitandani.

Pia ueleze mechanism ya hiyo dawa, jinsi inavyofanya kazi mwilini.

Tofauti na hapo itakuwa ni superstition.........Shukrani kwa kushea.
Mkuu,
Sio kama sijui , najua sana na nnailewa vizuri physiology yake kiundani (HOMEOSTASIS),
Tatizo ni kwamba si kila aliyepo humu ndani amesoma mambo haya, hatakama nikielezea baadhi ya watu hawataelewa kutokana na terminologies za kisayansi,
Ni lazima tuweke balance kwa wote,

Mfano mzuri daktari anapokupa dawa huwezi kuhoji mechanism yake , that is a profesional na kaisomea sio chini ya miaka mitano,

Hope umenielewa mkuu.
 
Kwanza nashukuru kwa kunielewa.

Pili Dr. ana aminiwa sababu ya qualifications, uzoefu, pamoja kule kujulikana kwake.

Kwakuwa hapa JF hatujuani, ni vyema vitu kama hivi vikaambatana na maelezo ya kisayansi na mwisho wake ukaweka summary kwa ajili ya wale walio fields nyingine na sayansi.

Hata mahakamani wakati wa kutoa shahidi za kisayansi, maelezo yanakuwa full then summary kwa ajili ya watu kama mahakimu pamoja na jury ambao hawakupitia field za sayansi.

Najua ingekuwa kazi kubwa lakini kwa kuwa umejitolea kufanya hivyo, basi ni vema ukakamilisha.

Hata hivyo narudia kukushukuru kwa maana hii issue ni common mno na victims wanakufa na tai shingoni kwa hofu ya kuaibika.

kan'tangaze unaona jinsi vichwa vyenye akili vinavyofanya kazi?.......ukome kubwabwaja maneno.
 
Hapa JF tunaupendo wa ukweli sababu tunapeana elimu, ushauri n.k,
Mtu kukusaidia sio mpaka akupe pesa ,mali n.k,
Mtu anaweza kukusaidia kwa kukupa ushauri na ukafanikiwa kwa kiasi kikubwa,

Nimetoa maelezo na nnaamini nimeeleweka,
Tiba hii kwa kutumia ufuta ni tiba bora na haina madhara kwa afya yako kwa sababu ufuta ni zao la chakura,
Ufuta pia huweza kurekebisha mfumo wa mmenge'nyo wa chakula na mfumo wa mkojo mwilini,
Hutibu ugonjwa wa kujikojolea (urinary incontinance) pia tabia ya kujisaidia haja kubwa pasipo muda maalumu,

HATA KAMA HAUNA MATATIZO UNASHAURIWA KUTUMIA UFUTA KWAAJILI YA AFYA YAKO.
 
Ila tahadhari kwa wajawazito ufuta ni hatari kwa afya yao
 
Back
Top Bottom