symwo
Senior Member
- Jan 15, 2014
- 152
- 49
Habari zenu humu ndani jamani. Ningeomba mnisaidie kujua kama kuna dawa ya kuacha ushoga au namna ambayo mtu anayefanya ushoga anaweza akasaidiwa kuacha. Nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 28 sasa, elimu yake ni degree. Alishafanya kazi sehemu lakini kwa sasa hana kazi(anatafuta).
Hivi karibuni tumegundua kuwa anafanya mambo ya kishoga, ni baada ya mama kukuta meseji kwenye simu yake za mwanaume akiwa anamwambia ni jinsi gani alivyofuraia kumfanya kinyume na maumbile "nimepunguza ukali wa maneno kidogo hapa"maana hizo meseji huwezi ziangalia mara mbili kwakweli.
Yaani yeye ndie anayefanywa, kwakweli tumeumia sana kama familia, na haya mambo ndugu zanguni yasikieni tu kwa watu, yakitokea kwenye familia yenu yanaumiza sana.
Tulimsema sana (mimi na mama) na kwasababu tulikuwa naushahidi akabaki kajiinamia tu kwa aibu,yani hapa tulipo hatujui cha kufanya . Bora angekuwa mtoto tungemfungia ndani na ingekuwa rahisi ata kumcontrol.
Naombeni ushauri jamani, angalau mawazo yatasaidia kwa njia moja au nyingine. Baba alishafariki,angekuwepo angepata fedheha sana na kuumia zaidi.