kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Inasemekana mtoto mdogo baada ya kuzaliwa mda wa kitovu kukatika ikitokea kikadondokea sehemu zake za siri na kama jinsia ya mtoto ni ya kiume basi atakuwa ni hanithi maishani mwake na ikitokea kwa mtoto wa kike vile vile basi huyo atakuwa mgumba maishani mwake.
Kwa kuwa ni mda mrefu sana jamii yetu imekuwa ikiamini hivo, naombeni kujua ukweli wake kisayansi upoje, au ni imani tu zilizopo ili kuzuia madhara mengine kwa mtoto? Na ni madhara yapi hayo yanaweza jitokeza kwa mtoto endapo kitovu kikidondokea kwenye sehemu zake za siri?