Mrejesho: Upungufu wa nguvu za kike

Ntigy

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
489
267
Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Habari! Wadau nawashukuru wote mlionipa ushauri kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu. Ushauri wenu niliupokea na kuufanyia kazi kwa kadri nilivyoweza.Zifuatazo ni hatua nilizochukua katika kutatua tatizo:-

a)Kwa kuwa baadhi ya wadau waliniambia kuwa yamkini nina jini mahaba,hatua ya kwanza kabisa nilienda kuombewa lakini pia nilimwomba mwenyewe Mungu aniondolee na aniepushe na nguvu zozote za giza zinazosababasha hiyo hali.

b)Kufuatia maoni ya baadhi ya wadau kuwa inawezekana sipati muda wa kupumzika na nina msongo wa mawazo,niliamua kusimamisha shughuli zangu zote za utafutaji wa pesa (nimejipa likizo ya wiki 2) na kuhakikisha kuwa kichwa changu sikisumbui kwa mawazo ya aina yoyote ya kukiumiza,muda mwingi ninautumia kufanya yale ninayoyapenda hasa kusikiliza muziki.

c)Baadhi ya wadau walinishauri niangalie aina ya vyakula ninavyokula,nilijiwekea ratiba ya kula mchemsho wa pweza,ndizi na nyanya chungu kila siku.

d)Baadhi ya wadau walishauri ulaji wa vitu mbalimbali kama mdalasini/vitunguu/asali/tende n.k. Naam hapo ndipo paliponiumiza kichwa kwani baadhi ya vitu nilishavitumia huko nyuma lakini havikunipa matokeo chanya,vingine niliona vinahitaji nivitumie kwa muda mrefu zaidi na kwa mishe zangu nikaona sitaweza hivyo niliamua kufanya yafuatayo:-
Niliamua kutengeneza juisi yenye mchanganyiko huu; tende, lozi, mdalasini, zabibu kavu, kitunguu maji, kitunguu saumu,kokwa la parachichi, tangawizi, asali mbichi na maziwa fresh pasipo kutia hata tone la maji. Juisi hii nainywa kila siku asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kulala.

Wadau leo ni siku ya 5 tangu nichukue hizo hatua 4 za hapo juu naam, nguvu za kike zimerudi vibaya mno, hamu ya kufanya mapenzi ambayo ilipotea kwa miaka 3 imerudi. Wadau nawashukuru sana kwa ushauri wenu na kunitia moyo,hakika nimefurahi sana kwani nimeteseka kwa hii hali kwa muda mrefu.

Kwa namna ya pekee nawashukuru sana wadau hawa FaizaFoxy, luse, valuablecock, Kiyawi, Tarakilishi, Raphael wa Ureno, @kulubuke, Lovery, muggyen, Lady peace, manyusi, Ngozi Joram, Mentor, Sonko Jr. na wengineo wote mlioguswa na tatizo langu kwa namna moja ama nyingine.
 
Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Habari! Wadau nawashukuru wote mlionipa ushauri kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu. Ushauri wenu niliupokea na kuufanyia kazi kwa kadri nilivyoweza.Zifuatazo ni hatua nilizochukua katika kutatua tatizo:-

a)Kwa kuwa baadhi ya wadau waliniambia kuwa yamkini nina jini mahaba,hatua ya kwanza kabisa nilienda kuombewa lakini pia nilimwomba mwenyewe Mungu aniondolee na aniepushe na nguvu zozote za giza zinazosababasha hiyo hali.

b)Kufuatia maoni ya baadhi ya wadau kuwa inawezekana sipati muda wa kupumzika na nina msongo wa mawazo,niliamua kusimamisha shughuli zangu zote za utafutaji wa pesa (nimejipa likizo ya wiki 2) na kuhakikisha kuwa kichwa changu sikisumbui kwa mawazo ya aina yoyote ya kukiumiza,muda mwingi ninautumia kufanya yale ninayoyapenda hasa kusikiliza muziki.

c)Baadhi ya wadau walinishauri niangalie aina ya vyakula ninavyokula,nilijiwekea ratiba ya kula mchemsho wa pweza,ndizi na nyanya chungu kila siku.

d)Baadhi ya wadau walishauri ulaji wa vitu mbalimbali kama mdalasini/vitunguu/asali/tende n.k. Naam hapo ndipo paliponiumiza kichwa kwani baadhi ya vitu nilishavitumia huko nyuma lakini havikunipa matokeo chanya,vingine niliona vinahitaji nivitumie kwa muda mrefu zaidi na kwa mishe zangu nikaona sitaweza hivyo niliamua kufanya yafuatayo:-
Niliamua kutengeneza juisi yenye mchanganyiko huu; tende, lozi, mdalasini, zabibu kavu, kitunguu maji, kitunguu saumu,kokwa la parachichi, tangawizi, asali mbichi na maziwa fresh[/URL] pasipo kutia hata tone la maji. Juisi hii nainywa kila siku asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kulala.

Wadau leo ni siku ya 5 tangu nichukue hizo hatua 4 za hapo juu naam, nguvu za kike zimerudi vibaya mno, hamu ya kufanya mapenzi ambayo ilipotea kwa miaka 3 imerudi. Wadau nawashukuru sana kwa ushauri wenu na kunitia moyo,hakika nimefurahi sana kwani nimeteseka kwa hii hali kwa muda mrefu.

Kwa namna ya pekee nawashukuru sana wadau hawa FaizaFoxy, luse, valuablecock, Kiyawi, Tarakilishi, Raphael wa Ureno, @Kulubuke, Lovery, muggyen, Lady peace, manyusi, Ngozi Joram, Mentor, @sonkoJr. na wengineo wote mlioguswa na tatizo langu kwa namna moja ama nyingine.
Pleasured kama umekuwa poa.
 
Mkuu huo mchanganyiko wako ukiandaliwa vizuri kisha ukatiliwa na milipuko kidogo nadhani Tanzania tunaweza kuchokoza super power yoyote na kuilipulia mbali kwa bomu hilo.

Yani tunaweza kuanzisha na kushinda WWII kwa bomu hilo.
 
Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Habari! Wadau nawashukuru wote mlionipa ushauri kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu. Ushauri wenu niliupokea na kuufanyia kazi kwa kadri nilivyoweza.Zifuatazo ni hatua nilizochukua katika kutatua tatizo:-

a)Kwa kuwa baadhi ya wadau waliniambia kuwa yamkini nina jini mahaba,hatua ya kwanza kabisa nilienda kuombewa lakini pia nilimwomba mwenyewe Mungu aniondolee na aniepushe na nguvu zozote za giza zinazosababasha hiyo hali.

b)Kufuatia maoni ya baadhi ya wadau kuwa inawezekana sipati muda wa kupumzika na nina msongo wa mawazo,niliamua kusimamisha shughuli zangu zote za utafutaji wa pesa (nimejipa likizo ya wiki 2) na kuhakikisha kuwa kichwa changu sikisumbui kwa mawazo ya aina yoyote ya kukiumiza,muda mwingi ninautumia kufanya yale ninayoyapenda hasa kusikiliza muziki.

c)Baadhi ya wadau walinishauri niangalie aina ya vyakula ninavyokula,nilijiwekea ratiba ya kula mchemsho wa pweza,ndizi na nyanya chungu kila siku.

d)Baadhi ya wadau walishauri ulaji wa vitu mbalimbali kama mdalasini/vitunguu/asali/tende n.k. Naam hapo ndipo paliponiumiza kichwa kwani baadhi ya vitu nilishavitumia huko nyuma lakini havikunipa matokeo chanya,vingine niliona vinahitaji nivitumie kwa muda mrefu zaidi na kwa mishe zangu nikaona sitaweza hivyo niliamua kufanya yafuatayo:-
Niliamua kutengeneza juisi yenye mchanganyiko huu; tende, lozi, mdalasini, zabibu kavu, kitunguu maji, kitunguu saumu,kokwa la parachichi, tangawizi, asali mbichi na maziwa fresh pasipo kutia hata tone la maji. Juisi hii nainywa kila siku asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kulala.

Wadau leo ni siku ya 5 tangu nichukue hizo hatua 4 za hapo juu naam, nguvu za kike zimerudi vibaya mno, hamu ya kufanya mapenzi ambayo ilipotea kwa miaka 3 imerudi. Wadau nawashukuru sana kwa ushauri wenu na kunitia moyo,hakika nimefurahi sana kwani nimeteseka kwa hii hali kwa muda mrefu.

Kwa namna ya pekee nawashukuru sana wadau hawa FaizaFoxy, luse, valuablecock, Kiyawi, Tarakilishi, Raphael wa Ureno, @Kulubhuke, Lovery, muggyen, Lady peace, manyusi, Ngozi Joram, Mentor, Sonko Jr. na wengineo wote mlioguswa na tatizo langu kwa namna moja ama nyingine.
Nitafute tujaribu mara moja nihakikishe kama kweli zimerudi
 
Mkuu huo mchanganyiko wako ukiandaliwa vizuri kisha ukatiliwa na milipuko kidogo nadhani Tanzania tunaweza kuchokoza super power yoyote na kuilipulia mbali kwa bomu hilo.

Yani tunaweza kuanzisha na kushinda WWII kwa bomu hilo.
Yaani we acha tu,usiombe kukutwa na bwana pepsi! Niliamua kujilipua namna hiyo
 
Back
Top Bottom