Maumivu makali sehemu za kiume nikipandisha hisia na nisijamiane

Emmak

Senior Member
Feb 28, 2017
147
118
Habar wakuu Mim ni kijana mmoja lijali na mstaarabu na sipend kumforce mtu katika mapenz sasa ninahii kitu huwa inaniumiza sana kichwa yan nikikaa muda mrefu bila kujamiana siku nikiwa na mwanamke hafu akinipandisha Hisia na mazingira yasiporuhusu nisijaamiane Huwa nasikia maumivu makali sana yan saana hasa sehemu za korodani na yanadumu kwa muda ila nikijaamiana mfululizo huwa sisikii hata ila nikikaa tu hata mwez hali inarud

Tatizo ni nin wakuu msaada tafadhali kunamtoto ananitesa saiz na bado sijafanikiwa kushiliki naye

Msaada tafadhali inatokana na nin hii
 
Una Ugumu ulopindukia hamna ugonjwa hapo, Af acha udomo zege wew., Mwanaume wa dar nini wew...?? Utamtegemeaje mtu mmoja ? Africa hamna mapenzi, tunachaguana na kulalana imepita iyo haiitaji mauwa...!!!

Ukitaka mapenzi nenda ufilipino..!!
 
Una experience na hili nn mkuu mi linanizingua kweli
 
Nakuunga Mkono hata Mimi Hii kitu Inanitokeaga Nilitaka Kuuliza One Day Hapa JF but nashukuru Swali Langu Lilijibiwa Na Doctor Pale Bochi Mbezi Msuguli Aliniambia Ni Normal Na Haina Shida Kinachopelekea Upate Maumivu Ni Kukaza Sana Kwa Misuli Kwenye hzo Sehemu Hivyo tu.
 
Una Ugumu ulopindukia hamna ugonjwa hapo, Af acha udomo zege wew., Mwanaume wa dar nini wew...?? Utamtegemeaje mtu mmoja ? Africa hamna mapenzi, tunachaguana na kulalana imepita iyo haiitaji mauwa...!!!

Ukitaka mapenzi nenda ufilipino..!!
Daah alafu hao madem wa Korean na Filipino drama rahisi sana kuwagegeda ....yani ukiwaonesha kuwajali na maneno matamu yeleeeuuuwiii unakula papuchi vizuri tu ...
 
Nakuunga Mkono hata Mimi Hii kitu Inanitokeaga Nilitaka Kuuliza One Day Hapa JF but nashukuru Swali Langu Lilijibiwa Na Doctor Pale Bochi Mbezi Msuguli Aliniambia Ni Normal Na Haina Shida Kinachopelekea Upate Maumivu Ni Kukaza Sana Kwa Misuli Kwenye hzo Sehemu Hivyo tu.
Duu inauma Hatar saana Yan ngoja Nimpange nile mzigo tu
 
Una Ugumu ulopindukia hamna ugonjwa hapo, Af acha udomo zege wew., Mwanaume wa dar nini wew...?? Utamtegemeaje mtu mmoja ? Africa hamna mapenzi, tunachaguana na kulalana imepita iyo haiitaji mauwa...!!!

Ukitaka mapenzi nenda ufilipino..!!
 
Pole jamaa,hiyo ni ngili au mshipa usiache ikomae tafta dawa mapema,kuna ngili yanye kubana chini ya kitovu na hiyo ya korodani,tafta dawa ya mitishamba unakunywa siku 1 tuu,haiji kukupata tena hiyo hali
 
Bac itakuwa kawaida hii wakuu sababu kunakipind nilikuwa na mzigo ndani hata sijawahi sikia ila toka tuachane madem nipo nao mbali sasa ndo majanga kama haya kuna mtoto mmoja hiv anasumbua
 
Back
Top Bottom