Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hi wadau! Naombeni anayejua dawa yakuondoa maumivu kwenye goti anijuze. Nilijigonja kwny ukuta zaidi ya mwezi sasa ndo nimeamza kupata maumivu kwnye goti. Nimejaribu dawa mbali mbali zikiwamo...
0 Reactions
13 Replies
18K Views
Wakuu mu hali gani? hali ya unywaji mwingi wa maji takribani lita 3-5 kwa siku na kuto kukojoa mara kwa mara au mara nyingi kwa mfano:- MCHANA KUKOJOA MARA 2 USIKU KUKOJOA MARA 1 NA HAJA NDOGO INA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni hatua gani za kuchukua ili kitokomeza ugonjwa wa amoeba unao jirudia rudia?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ninapata maumivu makali upande wa kushoto kifuani....maumivu yanasambaa mpaka kwenye bega na mkononi kisha mgogoni inafikia hatua nashindwa kulala kiubavu kwa upande wa kushoto nmeenda hospital...
0 Reactions
12 Replies
43K Views
Naomba ujuzi wakuu, nahesabu vipi ukubwa wa mimba na kukadiria siku ya kujifungua? *Pia dalili za kujifungua ni zipi? *kuna wengine wanasema wanachanika matumbo mda ukikaribia Wa kujifungua(kuna...
0 Reactions
18 Replies
53K Views
Helo wakuu, Ninaombeni msaada, kama kuna mbinu mbalimbali za asili za kutambua kuwa mimba ni yako au hata kama kuna vipimo ambavyo vinaweza kuonyesha maabara kwamba hii mimba ni yangu na vipi...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Habarini waungwana. Nisaidieni ktk hili, kwa wale watumiaji wa artificial contraceptives, je kuna ukweli wowote kuwa kutumia loop, (kitanzi) kuna-limit sex styles? Yaani unatumia style moja tu...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
mara nyingi naonaga watu wanautumia ila kwa mwenye kujua naomba anigawie ufahamu.
0 Reactions
38 Replies
79K Views
Salaaam wakuu Poleni Na majukumu Nimekuwa nikiteseka sasa takriban week ya pili hii kooh limekuwa likiuma hali inayo sababisha Kupanda kwa homa kali na kutapika Nilimuelezea nes duka...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu wanajf, Ninahitaji msaada wenu, jana usiku kuna vijana wetu wa kazi wamepigana wakaumizana lakini tuliwapatanisha na mmoja kati yetu akawa anawapatia huduma ya kwanza. Baadae akaenda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mke wangu alipojifungua mtoto wetu wa kwanza mwaka 2013,punde tu baada kujifungua alichoma ile sindano ya ANT D... ninachoomba kujuzwa,je kwa mimba ya pili ni wakati gani tena atapaswa kuchoma...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani, hivi mtoto mchanga akiwa na matege unaweza kufanya nini ili kuyanyoosha, nilisikia kama mtoto akiwa na matege wakati bado mdogo mifupa yake ni milaini hivyo inaweza kunyooshwa tu. I am...
0 Reactions
11 Replies
27K Views
Wadau naamini jf ni mpango mzima,naombeni msaada wa kiushauri,mtoto wangu ana miezi saba sasa ila hataki kabisa kula,alipofikisha miezi sita nilimwanzishia vyakula vyepesi kama uji,mashed...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Napenda kusomea ophthamology and surgery naomba kama kujua kama baadae unaweza kujiendeleza na pia kwa nchi yetu wagonjwa wa namna hii wapo wengi kama wa maalaria
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za majukumu. Tafadhali naomba msaada wa haraka,nikinywa maji tumbo langu linauma sana hali inayonipelekea nichukie kunywa maji,ninaweza nikakaa hata siku mbili bila kunywa maji ili...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari wana JF leo ni siku nyingine iliyo njema machoni petu watu wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu tatizo la malaria sugu, leo nitawapeni jinsi ya kutengeneza tiba ya asili ya malaria sugu na...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Nashukuru wote mlionipa ushauri nilipoleta tatizo langu la kujamba sana kila siku. Alfajiri leo nimeenda kumuona doctor nimefanyiwa vipimo vyote vya tumbo sina tatizo lolote pia jana usiku...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wakuu. Kutokana na gharama za maisha kupanda, baadhi ya njia za asili zimegunduliwa au njia za zamani zimeboreshwa.Ukiwa nyumbani, tumia vifuatavyo; 1.Kuvimbiwa - Hali ya tumbo kujaa gesi...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Wapendwa wa JF habarini, poleni na majukumu. Kama kichwa cha habari kilivyo, Naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu. Wakuu ninatabia ya kupandwa...
9 Reactions
93 Replies
60K Views
Nimetoka zangu job mida ya jioni jioni, nimechoka kimtindo! Nimepaki ka baiskeli kangu sehemu kununua chochote kwa ajili ya usiku (mlo) Gafla kuna mtu anaiita kwa nyuma, ni mdada ninayemfahamu kwa...
6 Reactions
61 Replies
11K Views
Back
Top Bottom