Olodungoroi
Member
- Feb 5, 2017
- 55
- 25
Mimi ni kijana wa 29, Nimekuwa nikipata wakati mgumu kuhusu afya yangu, afya niliyokuwa nayo kipindi cha nyuma sasa naona kila siku inazidi kupungua, na nimesha kwenda vituo vya afya kupima afya (H. I. V) na niko salama, kinachonishangaza ni kwamba kila siku nazidi kupungu tu, na chakula nakula bila shida sina mawazo makubwa inayoweza kunipelekea kukonda kiasi hiki sijawahi kuumwa hata homa za hapa na pale siumwagi, lakini nikiangalia mwili wangu sio kabisa na hata watu wangu wa karibu wananiambia vipi mbona unazidi kuisha tu. Mpaka sasa sijui nifanyaje,
Naombeni kwa wale wataalamu wa afya waniambie ni ugonjwa gani inaweza kumfanya mtu akonde tu bila hata kuumwa mafua,
Na mnipe ushauri labda nikapime vipimo gani au magonjwa gani.
Asante sana
Naombeni kwa wale wataalamu wa afya waniambie ni ugonjwa gani inaweza kumfanya mtu akonde tu bila hata kuumwa mafua,
Na mnipe ushauri labda nikapime vipimo gani au magonjwa gani.
Asante sana