Ni kweli kunywa maziwa ni kinga ya magonjwa yatokananyo na vumbi?

New Nytemare

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
3,326
2,472
Wadau habari ya asubui, nauliza kwa wataalam wa afya kwamba maziwa ni tiba au kinga ya kweli %100 kutibu magonjwa ya tokanayo na vumbi kali..

Jamii mtaan inaamin kwamba ukitoka kwenye vumbi ukinywa MAZIWA umesha tibu...
 
Si kweli...tumia limao vitunguu swaumu na asali yaan kijiko kimoja cha vitunguu swaumu,kamulia limao moja halfu punje nne za vitunguu swaumu(ponda ponda) hii ndo kiboko ya magonjwa ya vumbi,kifua,mafua
 
Back
Top Bottom