Kwanini unuie? Na kwanini usimame mbele ya mlango wa nyumba?
Je, hii dawa yako ni ya kisayansi?
Shida sio uzungu, sasa tangu lin ukaambiwa kua ukitaka kumeza panadol nuia kwanza?Utapingwa sana humu...lakini angekuwa mzungu aaaah mbona ingepita tu bila pingamizi
Shida sio uzungu, sasa tangu lin ukaambiwa kua ukitaka kumeza panadol nuia kwanza?