Mambo manne ambayo hupaswi kuyafanya wakati wa kulala..

kisangant

Member
Jan 28, 2017
20
18
MAMBO Manne Ambayo Hupaswi Kuyafanya Wakati wa Kulala..!!!

Wataalam wa afya wamekuwa wakieleza kuwa kulala ni moja ya mambo muhimu kwa afya ya binadam.
Licha wengi kutozingatia umuhimu wa kulala hasa yale masaa 8 ambayo hupendekezwa na wataalam kutokana na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kazi za kila siku.
Sasa leo naomba msomaji wangu nikueleze mambo kadhaa ambayo unaambiwa si mazuri kufanyika wakati unapokuwa kitandani tayari kwa kulala.
1. Hutakiwi kuangalia Tv wakati unapokuwa kitandani tayari kwa ajili ya kulala.
2. Kuchezea simu au kuchat kwenye mitandao mbalimbali wakati unapokuwa kitandani kwa ajili ya kulala.
3. Kula au kunywa wakati upo tayari kitandani nayo si tabia nzuri vinginevyo labda iwe unaumwa na hauna jinsi.
4. Kufanya mazungumzo hasa yale ya hasira wakati unapokuwa kitandani pia si vizuri
 
Wataalamu wanasema kula chapati haifai kiafya, maandazi sio mazuri kwa afya, mboga za majani zilizokatwakatwa na kuungwa sio nzuri, ugali wa mahindi yaliyokobolewa ni mbaya kwa afya, kunywa maji ya baridi haifai, soda ni mbaya, bia na aina zote za pombe hazifai, na mavitu kede kede, tuna kazi ya ziada
 
Yaani ukifuata yote yanayosemwa unaweza ukachanganyikiwa...
 
Wataalamu wanasema kula chapati haifai kiafya, maandazi sio mazuri kwa afya, mboga za majani zilizokatwakatwa na kuungwa sio nzuri, ugali wa mahindi yaliyokobolewa ni mbaya kwa afya, kunywa maji ya baridi haifai, soda ni mbaya, bia na aina zote za pombe hazifai, na mavitu kede kede, tuna kazi ya ziada
Yani ukifuatilia ushauri wa "wataalamu" utajikuta unaishi kama jini
 
Namba 4 tu ndo naiweza!!! Hayo mengine nafanya kila siku!!!
Duuih na namba 3 na yenyewe huwa ni muhusika mzur, kwa hiyo we ukitaka kulala tuu unakimbilia kitandani na msahani yAko yamejaa msosi pomon na kuanza kula usingiz ukikupitia misahani mibakuli michafu unalala nayo asubuh ndo unaitoa, kaah hii tabia sio nzur kabisa acha maramoja
 
Hiyo namba moja na mbili ni kweli kabisa,mwanga mkali wa simu na Television huzuia ubongo kuzalisha MELATONIN ambayo husaidia mtu kupata usingizi.
Mi mbona huwa nalala tu usingizi hata nichat weeee
 
Back
Top Bottom