Taured
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 805
- 681
Wakuu naombeni msaada ni m
uda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana lakini hali ni tete kama picha Inavyoonyesha hapo chini nifanyeje maana kama kukamulia ndimu sijui maji ya moto na chumvi ndo usiseme