Msaada:Dawa ya kuondoa makengele masikioni

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Salaam wanaJf
Jamani msaada ,mwenzenu Jana nlikula bia nyingi Sana na kucheza bakulutu hadi alfajiri
Sasa hapa nlipo naandamwa na makengelee masikioni yani sisikiii fresh
Si mnajua yale makengelee yanayosikika masikioni baada ya kunywa dozi ya malaria hasa Krorokwini
Sasa anaejua dawa ya kuondoa hii hali anisaidie jamanii
 
Tafuta bangi mkuu then loanisha yale maji yake ni bonge la dawa ya sikio
 
Nakushauri tu kwa upole kuw mishipa yako inatanuka sana na kufanyishwa kazi kupita uwezo wake. Ukiendekeza utakuja pata stroke (samahani na tuombe Mungu apitishe mbali). Inaitwa sinutis
 
Sinutis ni inflammation of sinuses kwenye pua na kwa kawaida Mgonjwa anakuwa na mafua makali, acha kuchanganya mambo
Sinusitis is inflamation of tissues around the sinus sio lazima iwe kwenye pua.
856b50e46ea399d8d207f5b42f454ae9.jpg
 
Nakushauri tu kwa upole kuw mishipa yako inatanuka sana na kufanyishwa kazi kupita uwezo wake. Ukiendekeza utakuja pata stroke (samahani na tuombe Mungu apitishe mbali). Inaitwa sinutis
Sasa sinuses ziko kwenye pua au zipo around the nose?Wewe ndiyo ukasome vizuri!
Ndiyo maana zinaitwa PARAnasal sinuses.
Nadhani jamaa alikuwa ana maanisha tinitis
 
Salaam wanaJf
Jamani msaada ,mwenzenu Jana nlikula bia nyingi Sana na kucheza bakulutu hadi alfajiri
Sasa hapa nlipo naandamwa na makengelee masikioni yani sisikiii fresh
Si mnajua yale makengelee yanayosikika masikioni baada ya kunywa dozi ya malaria hasa Krorokwini
Sasa anaejua dawa ya kuondoa hii hali anisaidie jamanii
Yaani unasikia nzeeeeeeeeee!!!!!!! ha! ha! yaache tu! yataondoka yenyewe.
 
Salaam wanaJf
Jamani msaada ,mwenzenu Jana nlikula bia nyingi Sana na kucheza bakulutu hadi alfajiri
Sasa hapa nlipo naandamwa na makengelee masikioni yani sisikiii fresh
Si mnajua yale makengelee yanayosikika masikioni baada ya kunywa dozi ya malaria hasa Krorokwini
Sasa anaejua dawa ya kuondoa hii hali anisaidie jamanii

Ilitakiwa alfajiri urejee huko ulikokuwa jana ukazimue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom