Daktari wa familia anatafutwa

Msongoru

JF-Expert Member
Apr 16, 2008
306
24
Wanajukwaa! Salaam;
Kuna ndugu yangu yuko Dar anatafuta dakari wa familia. Akiwa wa hospitali za rufaa itakua bora zaidi ili aweze kusaidia habari za vipimo nk. Hana tatizo la kiafya kwa sasa ila anataka daktari wa karibu kwa ajili ya kupima afya mara kwa mara na kumshauri kwa ajili ya afya bora.

Kama upo humu au unamfahamu mmoja tafadhali ni PM.

Natanguliza shukrani;
 
Back
Top Bottom