Msaada

tutuza

Member
Mar 6, 2014
28
45
Baada ya kubahatika kumpata mtoto mmoja, mke wangu alitumia NJITI kama njia ya uzazi wa mpango sasa baada muda akagundua njiti imepotelea mwilini. Tumejaribu kumtafuta mtoto pasipo na mafanikio tumemwona daktar akashauri utrasound kubaini sehemu ilipo hiyo njiti lakini hakijaonekana kwakweli tumebaki bila kujua lakufanya. Kama kuna msaada kwa wataalam humu tafadhali atusaidie. Natanguliza samahani kama sijajieleza vizuri.
 

carbamazepine

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
45,255
2,000
Mkuu hiyo njiti ilikaa mda gan?na je siku zake za hedhi zinaendaje?...jaribuni kwenda kumuona dr wa kina mama mnaweza pata suruhisho...MziziMkavu pitia pande hii
 

tutuza

Member
Mar 6, 2014
28
45
Yaan tulienda kwa daktari baada ya miaka mitatu ili atolewe lakini haikuonekana akaambiwa akae miaka mitatu tena ndipo arudi lakini baada ya hapo kurudi tena bado tu haijaoneka ndo akaenda kwenye utrasound na hakuna mafanikio
 

ricksily

Member
Mar 9, 2017
89
125
Njiti ndo kitu gani? Au unamaanisha ile njia ya uzazi wa mpango ya kutumia kipandikizi ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom