Dawa za kupunguza Depression.

_rolex

Member
Mar 16, 2017
38
95
Habari wana jamii..
Kama una fahamu dawa zinazotumika kupunguza depression na msongo wa mawazo, Please naomba unifahamishe.
 
Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,301
2,000
Paxil ni nzuri Poleni sana Graduates mliokaa mwaka wa nne sasa mnatafuta dawa za depression

Onyo:

Some young people have thoughts about
suicide when first taking an antidepressant.
Stay alert to changes in your mood or
symptoms.
 
Ok.. Vp lakini ww umewah kutumia, kama umewahi kuitumia naomba share na experience yako..
& kwanini umeipendekeza hyo
 
Chakochangu

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
2,623
2,000
Tiba dhidi ya msongo wa mawazo ni jiepushe na upweke, jaribu kujichanganya na watu wengine katika jamii inayokuzunguka. Au shiriki katika vikundi vya jamii kama michezo, mazoezi, kuimba au majadiliano yoyote.
Jitahidi sana kuuepuka upweke, madawa ya hospitali / ya kizungu ni hatari yatakufanya uwe tegemezi kwayo(adicted... sijui ndivyo inavyoandikwa?).
 
Kuna wakat ni lazma uwe unafanya shughul zako mwenyew, si wakat wote utakuw ukijichanganya na watu
 
Distinction

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
631
500
Habari wana jamii..
Kama una fahamu dawa zinazotumika kupunguza depression na msongo wa mawazo, Please naomba unifahamishe.
Hata me haitaji
msongo wa mawazo ya aina gani wakuu..? tuanzie hapo kwanza, ntakupa njia za kiuchumi kumbe wewe umeegemea kwenya socially kama vile kutendwa etc. muwe specific please kama ni general pia muwe wazi.
 
_rolex

Member
Mar 16, 2017
38
95
msongo wa mawazo ya aina gani wakuu..? tuanzie hapo kwanza, ntakupa njia za kiuchumi kumbe wewe umeegemea kwenya socially kama vile kutendwa etc. muwe specific please kama ni general pia muwe wazi.
Actually ni general, mambo mengi yanatinga
 
BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,391
2,000
Paxil ni nzuri Poleni sana Graduates mliokaa mwaka wa nne sasa mnatafuta dawa za depression

Onyo:

Some young people have thoughts about
suicide when first taking an antidepressant.
Stay alert to changes in your mood or
symptoms.
Tatizo sio graduates mkuu,kuna watu wana career zao ilo swala lipo sana,nadhan lifestyle nayo inachangia,
 
Distinction

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
631
500
Actually ni general, mambo mengi yanatinga
mkuu kama ni general jitahidi kutafta kitu kitakachokufanya uwe bize.
yaani, akili ya mwanadamu imo ndani ya kichwa, kichwa ambacho kinaongoza mwili....

jaribu kuzipa 90%, kwa generalize ideas mbalimbali either kutoka kwa vitabu mbalimbali, Biblia na Qurani, mkristo na Muislam respectively. nakuakikishia utafanikiwa asilimia zote.. kama ni mvivu wa kusoma unaweza ukatafta documentary, umeshindwakaabisa hata movies ambazo zitaifanya akili yako kurelax.

mwisho akili usiiache ikae bila kuishughulisha.........................
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,480
2,000
Habari wana jamii..
Kama una fahamu dawa zinazotumika kupunguza depression na msongo wa mawazo, Please naomba unifahamishe.

UNYWAJI MAZIWA TIBA YA MSONGO WA MAWAZO.jpg

UNYWAJI MAZIWA YA MOTO TIBA YA MSONGO WA MAWAZO

Kunywa maziwa changanya na kijiko cha Asali safi mbichi ya nyuki. Maziwa hasa yawe yanayotoka na wanyama kama Ng'ombe, Mbuzi, Ngamia n.k ni tiba kubwa kwa watu wanaesumbuliwa na msongo wa mawazo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom