Mzee wangu anashindwa kula

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Wadau Nipeni Possibles Katika Hili Mana Mzee Wangu Ana Tatizo La Kushindwa Kula Ama Kula Kwa Kujilazimisha Na Kumeza Kwa Shida
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,681
2,000
MKUU JARIBU KUMPA VIDONGE VYA VITAMINI B NI VYA HAMU YA KULA.

ONYO INABIDI UANDAE MSOSI WA KUTOSHA
 

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
611
1,000
hospital ipo kwa ajiri ya binadamu na sio kinyume chake mpeleke au nenda naye akapime au akapate ushauri kwa wataalamu wa afya
 

Gololi One

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
576
500
Mpeleke hospital haraka sana, Kila siku naongea hapa jamani hebu badala ya kuja hapa kuomba ushauri/kutafuta solution tuwapeleke wagonjwa hospital kwanza alafu akishapata tiba na tiba ikishindikana ndio tuje tuombe ushauri. Nawaomba sana wanajamii woote, tubadilike.
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,726
2,000
Could be eosophagial carcinoma, send the patient to the hospital for proper investigations and management
 

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,912
2,000
Pilipilh Mimi Nikiwa Sina Hamu Ya Kula Huwa Wanaleta Chachandu Kali, Kiasi Lazima Mzuka Wa Kula Upande
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
54,749
2,000
Tatizo ni kwanini anashindwa kumeza chakula? Investigations kama CT scan can give the answer
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom