CHINI YA DAKIKA 5 ?

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
519
1,000
ndugu ...
nimeoa mwaka wa pili sasa ila ninafanya tendo la ndoa kwa dakika zisizozidi tano,nakua nimesha "mwaga"
sasa naona kama ni tatizo
kama kuna msaada wa tiba au dawa nahitaji sana.
kama ni mazoezi ya mwili nafanya tangu nikiwa mdogo sana.
balanced diet ipo.
nipo mwanza...
 
mjukuum

JF-Expert Member
Dec 8, 2014
5,152
2,000

Vipi mwenzako anatosheka na hiyo hali!?? Kama ndio endelee hivyo hivyo na kama haridhiki ongea nae yeye huku utawapa watu cha kuongea
 
Love Doctor

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
207
250

Pole sana mkuu kwa tatizo lako unakula sana wanga ??
 
THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
519
1,000
Vipi mwenzako anatosheka na hiyo hali!?? Kama ndio endelee hivyo hivyo na kama haridhiki ongea nae yeye huku utawapa watu cha kuongea
kimtazamo wangu wanawake husema wanaridhika ili tu kutujenga psychologically.
natumaini haridhiki iwapo hasemi.
 
Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,789
2,000
Fanya mazoezi kila siku.

Si lazima ufanye mazoezi ya nguvu.

Ukiamka piga zako mazoezi kama dakika kumi hata room kwako au nje then oga nenda kazini. Iwe ratiba yako.

Pili kunywa maji mengi(lita na kuendelea) ukiamka tu kabla hujala chochote. Then anza kula baada ya saa na kuendelea ili maji yafanye kazi yake mwilini.

Itakusaidia kuwa na mzunguko mzuri wa damu na kumaster game.

Pole sana, na mi nimesoma tu mahali. Usiniulize maswali.
 
poa tu

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,176
2,000
ndugu ...
nimeoa mwaka wa pili sasa ila ninafanya tendo la ndoa kwa dakika zisizozidi tano,nakua nimesha "mwaga"
sasa naona kama ni tatizo
kama kuna msaada wa tiba au dawa nahitaji sana.
kama ni mazoezi ya mwili nafanya tangu nikiwa mdogo sana.
balanced diet ipo.
nipo mwanza...
Tatizo nini sasa, unashindwa kurudia au huwezi kuunga ngwe ya pili ukishamwaga? Kama unaweza hofu yako nini sasa?
 
BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,391
2,000
Iyo inawezekana ikawa sabab kwenda nje ya ndoa siku si nying,... Jarib kubadilisha lifestyle ya maisha mkuu,achana na stress,kula vyema na Fanya mazoezi,..ilo ni tunda LA ndoa sasa akilikosa anaweza gadhibika,kutafta mbadala wa kandarasi yako,..
 
Love Doctor

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
207
250
ndio wanga ni sehemu kuu ya chakula changu
Punguza kidogo isiwe sana pia weka ratiba kila siku uwe unakula ndizi mbivu 5 kwa siku kunywa maji mengi Fanya mazoezi ya kujenga msuli kula mboga za majani na matunda pia jitahidi kula chakula Asili na jihadhari sana na haya madawa yatazidi kukudhuru
 
THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
519
1,000
Iyo inawezekana ikawa sabab kwenda nje ya ndoa siku si nying,... Jarib kubadilisha lifestyle ya maisha mkuu,achana na stress,kula vyema na Fanya mazoezi,..ilo ni tunda LA ndoa sasa akilikosa anaweza gadhibika,kutafta mbadala wa kandarasi yako,..
haya naona nimekwisha yafanya miezi minne sasa hakuna badiliko
 
kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,269
2,000
Ushajaribu kuwaona madaktari? Pamoja na ushauri utakaopata hapa jaribu pia kupata wasaa wa kupata konana na mtaalamu wa afya sanasana afya ya uzazi upate pia ushauri zaidi wa kitaalamu kulingana na jinsi atakavyoliona tatizo lako.

Kila la kheri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom