Msaada wa doctor masuala ya uzazi

Jun 2, 2017
33
16
Habari zenu wana jamii forums

naombeni msaada wa hospitali nzuri inayotibu au hata ushauri musuala ya uzazi wa kina mama au doctor

yenye bei nafuu kidogo

nipo serious katika hili

ASANTENI SANA WANA JAMII FORUMS
 
Habari zenu wana jamii forums

naombeni msaada wa hospitali nzuri inayotibu au hata ushauri musuala ya uzazi wa kina mama au doctor

nipo serious katika hili

ASANTENI SANA WANA JAMII FORUMS
Wewe funguka tatizo lako madokta wapo wengi humu watakupa ufumbuzi wa shida yako.
 
Ungeelezea vizuri ili wajue jinsi ya kukuelekeza, hujawahi kupata mtoto au hujawahi kupata mimba???

Kabla ya ndoa, ulishawahi kupata mimba???
mimi nishawahi kuwapa mimba wasichana kama 3 hivi mara ya kwanza 2010 mwingine mwaka 2016 wa mwisho mwaka huu mwezi wa 4....hao wote niliowataja walikuwa ni mchepuko tu...mke wangu ana mtoto mmoja kamzaa mwaka 2011 kwa jamaa mwingine kabla hatukakutana nimekutana nae mwaka 2013 tangu nimuoe mwaka 2015 mwezi wa 6 mpaka sasa hatujabahatika kupata mtoto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom