Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jaman nina ndugu yangu anapenda cana hizo mambo nimemshauri aache but anacema hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke co naomben michango jaman nimcaidiaje. === Same Cases...
0 Reactions
181 Replies
36K Views
Naomba kujua mama mjamzito anatakiwa kuwa na wingi wa damu kiasi gani au kawaida iweje? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
16K Views
NINI HUTOKEA TUNAPOKUNYWA "ENERGY DRINKS"? "ENERGY DRINKS" ni vinywaji vinavyotajwa kukuongezea nguvu utakapotumia,na matumizi yake yameongezeka kipindi hiki. Mwaka 2014 shirika la afya duniani...
6 Reactions
47 Replies
57K Views
Hakikisha unapata chanjo ya homa ya mapafu: chanzo hizi hupatikana mahospitalini. Kabla hujapata chanjo ongea na Dactari wako akupe ushauri. Hakikisha watoto wanapata chanjo ya homa ya mapafu...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu habari, Mimi ni mwanaume. Takriban mwezi sasa nimekuwa nikiumia sehemu unapoishia uti wa mgongo hasa ninapokuwa nimepanda baiskeli au pikipiki. Pia napokuwa nimepanda gari halafu ikapiga...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Saratani ni kundi la Magonjwa yanayoweza kuanza takriban kwenye kila Kiungo cha mwili, seli zinapokua kuliko kawaida bila kudhibitiwa. Ukuaji huo unaweza kuvamia viungo vingine vya mwili vilivyo...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi mgeni kwenye hii forum, ila ningependa kupata dondoo kadhaa kuhusiana na magonjwa mbalimbali na afya kwa ujumla. Ningependa kuanza kupata ufahamu kuhusiana na ugonjwa wa homa ya in.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimewahi kusikia kwamba mtu anapoanza kuchanganyikiwa yaan kuwehuka, asiruhusiwe kukimbilia sokoni au jalalani, yaan azuiwe kadri inavyowezekana asifike maeneo hayo, akishafika maeneo hayo...
1 Reactions
1 Replies
820 Views
Gastric trichobezoar'' ni ugonjwa ambao ni nadra sana kutokea, ni hali ya kuwa na uvimbe ulioundwa na nywele ndani ya njia ya kumengenya chakula. Mtu hupata shida ya kumeza, usumbufu wa tumbo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
ana miezi miwili tangia ajifungue (kwa operation) lkn tangia jana ameanza kulalamika anasikia baridi kali na kutetemeka hata kama amevaa masweta mazito...pia mshono wake kuuma ..je itakua ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Homa ya Mapafu au kama ilivyozoeleka kwa wengi Pneumonia (Nimonia) ni ugonjwa hao umesababisha vifo vya maelfu ya watu duniani kote. Mara nyingi Ugonjwa huu husambazwa kwa vijidudu, fangasi...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo fulani ambalo hakuwa nalo tangu mwanzo anaweza kufanya nini ili kuepuka hii haibu japokuwa kwasasa limekuwa kama janga la taifa. Anakosa hamu ya tendo la ndoa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Nilikuaga nasumbuliwa na kifua nikapiga X-ray wakaniambia nina TB, so wakanianzishia dozi since June mwaka jana tarehe 14. Nikawa nahudhuria kliniki kila baada ya wiki mbili kuchukua dozi na kila...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni msaada wanajamvi, mnisaidie: ni vyakula gani ukila unaongeza uwingi wa shahawa/sperms na zinakuwa zenye nguvu, naomba mnisaidie. natanguliza shukrani za dhati
0 Reactions
23 Replies
13K Views
Watu wengi huwa wanasema chipsi mayai ni hatari je ni kweli ni hatari kuliko miguu, utumbo, pamoja na vichwa vya kuku wakisasa? au kalmati, ndizi zilizokaangwa kwa mafuta na vitumbua? Au nyanya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nyama nyeupe ni ipi? Hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote. Nyama nyekundu ni ipi...
4 Reactions
5 Replies
5K Views
Mwanamke anaweza akapata HIV direct kutoka kwenye mwili wake mwenyewe kipindi cha ujauzito? Nasikia kuna case kama hizi zinatokea duniani kuwa mwanamke kupimwa na kukutwa na HIV kipindi cha...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wana jamvi. Naomba msaada wa haraka. Baada ya kujipima HIV na kipimo (vile vyeupe) Ndani ya dakik 10 ilionekana positive ila asubuhi viliweka mistari 3 (Vililala mpaka asubuhi) Naombeni...
4 Reactions
171 Replies
135K Views
Habari za humu ndani wakuu? Wanasemaga kuuliza sio ujinga. Eti ukijulikana una tatizo la moyo kwenye mishipa au kitu chochote kinachopelekea moyo kuwa na tatizo ni lazima ufanyiwe upasuaji au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kuuliza Madaktari na wataalamu mnisaidie kwa hili. Juzi niliugua nilipata mshtuko wa moyo nikaenda hospital. Baada ya kupimwa Pressure, Kisukari, sikuwa na gonjwa hata moja lakini baadae...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom