mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,025
- 1,888
Nimewahi kusikia kwamba mtu anapoanza kuchanganyikiwa yaan kuwehuka, asiruhusiwe kukimbilia sokoni au jalalani, yaan azuiwe kadri inavyowezekana asifike maeneo hayo, akishafika maeneo hayo inasemekana hata weza kupona tena ,yaan ndio anawehuka moja kwa moja anakua Kichaa.
Hii ishu INA ukweli kiasi gani?
Ni imani za watu au ndivyo ilivyo kiuhalisia???
Nisaidie
Hii ishu INA ukweli kiasi gani?
Ni imani za watu au ndivyo ilivyo kiuhalisia???
Nisaidie