Je, haya ni ya kweli kuhusu VVU?

Je, haya ni ya kweli kuhusu VVU?

Askarimtu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
277
Reaction score
185
Mwanamke anaweza akapata HIV direct kutoka kwenye mwili wake mwenyewe kipindi cha ujauzito?

Nasikia kuna case kama hizi zinatokea duniani kuwa mwanamke kupimwa na kukutwa na HIV kipindi cha ujauzito na mwanaume wake hakukutwa na hivyo virusi. Ukiachana kabisa na dhana ya labda mwanamke yule alikuwa sio mwaminifu katika vipindi fulani hapo nyuma kabla ya ujauzito, Je dhana nyingine ya kidaktari zaidi ni ipi inayopelekea hali hii?

Je, ni kweli binadamu wasiokuwa na vitu fulani kwenye mwili vinavyoitwa receiptors hawawezi kupata HIV?

Kwanini Madaktari wakubwa hawaruhusiwi kufanya research nyingi kuhusu HIV na tabia zake bila ruhusa kutoka mamlaka kubwa duniani? Je, kuna siri ambayo watu wanatakiwa wasijue kuhusu tabia ya HIV?
Je, kama HIV inasababishwa na reaction inayotokea kwenye chembe (cell)za mwili kweli haiwezi kutibika? Au ndio maana, sio kila mtu anaruhusiwa kufanya uchunguzi zaidi kuhusu hali hii??

Haya madaktari na watu wa afya: Je, madai haya ni ya kweli??
 
Kuna watu wanaiendesha hi dunia kupitia Saikologia tuu alafu wanatufaidi sana sisi wafusi..
Nacho jifunza ni kuambiwa kitu na kufanyia tafiti kama ninao muda .
Wakija ma docta wetu watatoa povu kukubishia huku tulikaririshwa na wakakaririshwa darasani tuu hana utafiti wowote
Akija mwenye kuamin juu ya usemalo atatetea hapo hata kama ni kweli wapinzani watakuwa wengi..
Ndo dunia ilivyo yan
 
na tatizo ndipo lilipo
 
1. HIV huingia mwilini kwa maambukizi ya damu au shahawa. Wanawake wana nafasi nzuri ya kupimwa hasa wakiwa wajawazito.

2. Ukimwi hupokelewa na cell receptors na huchukua masaa 72 tangu maambukizi mpaka mapokezi kufanyika.

3. Hili la madaktari wakubwa kufanya research ya HIV wengi wanakuwa wameandika proposal kwa research ya Masters au PhD, ni lazima kiwe kitu kigeni kinachunguzwa kwasababu ni wengi wameshafanya research hizi na zina gharama.

Kama ni kitu kipya cha ziada ambacho kitaleta tija kwenye jamii wanapewa ruhusa ya kuendelea na pesa pia.
Ndio ndio...hapo kwa mwanamke hapo, naambiwa kuwa (maana mimi sio mtaalam ni mfuatiliaji tu) , shahawa za kiume zinakuwa na DNA na RNA, na ikitokea tu mwili wa mwanamke ukashindwa kuelewa(kukumbuka) vizuri shahawa za kiume yaani copy,basi kinga ya mwili wa mwanamke itatengeneza antigens na hizo antigens ukienda kupima kwa SD upo uwezekano mkubwa wa mwanamke huyo kuwa na HIV positive. Na vilevile wanawake wa aina hii wanaweza kujamiaana na mwanaume na bila kumwambukiza HIV na hii inatokea maana zile copy zinakuwa ni kama za malaria au typhoid, UTI nakadhalika. Sasa ndio maana napata tabu kidogo,
 
Pamoja na kuwa HIV haina DNA ina RNA lakini haiwezi kujibadilisha yenyewe ni mpaka upate maambukizi.

Haya maelezo yako mkuu ni hear say. Ndiyo mwanamke akiwa na mimba immune system yake inashake siku za kwanza lakini inajirudi baada ya miezi mitatu ya kwanza.

UTI, malaria na HIV ni vitu tofauti. UTI ni maambukizi ya bacteria, malaria ni parasites na HIV ni maambukizi ya virus
 
Mtafute mtu mmoja anajiita Dr. William US. atawasaidia katika hili.
 
Maswali yote kuhu UKIMWI na unafiki wa Wazungu aliishautolea ufafanuzi wa kina na research juu.
 
1. HIV huingia mwilini kwa maambukizi ya damu au shahawa. Wanawake wana nafasi nzuri ya kupimwa hasa wakiwa wajawazito.

2. Ukimwi hupokelewa na cell receptors na huchukua masaa 72 tangu maambukizi mpaka mapokezi kufanyika.

3. Hili la madaktari wakubwa kufanya research ya HIV wengi wanakuwa wameandika proposal kwa research ya Masters au PhD, ni lazima kiwe kitu kigeni kinachunguzwa kwasababu ni wengi wameshafanya research hizi na zina gharama.

Kama ni kitu kipya cha ziada ambacho kitaleta tija kwenye jamii wanapewa ruhusa ya kuendelea na pesa pia.
Point of correction sperms hazisambazi HIV
 
Sky naona unaongea vitu ambyo umefundishwa darasani na kusoma vitabu vilivyoandikwa na hao hao wanaoficha mambo
 
hapo kweli ndio tatizo...elimu za darasani ni nzuri lakini hazifunui kitu moja kwa moja, top secret inafichwa.
 
Mwanamke anaweza akapata HIV direct kutoka kwenye mwili wake mwenyewe kipindi cha ujauzito?

Nasikia kuna case kama hizi zinatokea duniani kuwa mwanamke kupimwa na kukutwa na HIV kipindi cha ujauzito na mwanaume wake hakukutwa na hivyo virusi. Ukiachana kabisa na dhana ya labda mwanamke yule alikuwa sio mwaminifu katika vipindi fulani hapo nyuma kabla ya ujauzito, Je dhana nyingine ya kidaktari zaidi ni ipi inayopelekea hali hii?

Je, ni kweli binadamu wasiokuwa na vitu fulani kwenye mwili vinavyoitwa receiptors hawawezi kupata HIV?

Kwanini Madaktari wakubwa hawaruhusiwi kufanya research nyingi kuhusu HIV na tabia zake bila ruhusa kutoka mamlaka kubwa duniani? Je, kuna siri ambayo watu wanatakiwa wasijue kuhusu tabia ya HIV?
Je, kama HIV inasababishwa na reaction inayotokea kwenye chembe (cell)za mwili kweli haiwezi kutibika? Au ndio maana, sio kila mtu anaruhusiwa kufanya uchunguzi zaidi kuhusu hali hii??

Haya madaktari na watu wa afya: Je, madai haya ni ya kweli??
Ukitaka kuamini mijitu iimekariri af inajihc inaelewa vizuri sana khs HIV

Ni pale unamkuta mtu amevimbisha misuli ya kichwa kumuelezea mdudu anaeitwa HIV, mdudu ambye yeye hajawahi kumuona na hats hao waliompa materials ya kukariri hawajawahi kumuona ila hv leo kuna mabingwa wanajifanya kuelezea kila kitu khs HIV Daah
 
Mwanamke anaweza akapata HIV direct kutoka kwenye mwili wake mwenyewe kipindi cha ujauzito?

Nasikia kuna case kama hizi zinatokea duniani kuwa mwanamke kupimwa na kukutwa na HIV kipindi cha ujauzito na mwanaume wake hakukutwa na hivyo virusi. Ukiachana kabisa na dhana ya labda mwanamke yule alikuwa sio mwaminifu katika vipindi fulani hapo nyuma kabla ya ujauzito, Je dhana nyingine ya kidaktari zaidi ni ipi inayopelekea hali hii?

Je, ni kweli binadamu wasiokuwa na vitu fulani kwenye mwili vinavyoitwa receiptors hawawezi kupata HIV?

Kwanini Madaktari wakubwa hawaruhusiwi kufanya research nyingi kuhusu HIV na tabia zake bila ruhusa kutoka mamlaka kubwa duniani? Je, kuna siri ambayo watu wanatakiwa wasijue kuhusu tabia ya HIV?
Je, kama HIV inasababishwa na reaction inayotokea kwenye chembe (cell)za mwili kweli haiwezi kutibika? Au ndio maana, sio kila mtu anaruhusiwa kufanya uchunguzi zaidi kuhusu hali hii??

Haya madaktari na watu wa afya: Je, madai haya ni ya kweli??
Elimu y kidhungu imetuharibu sana daah

watu skuhz tunashndwa kuziamini akili zetu mwisho tunaishia kukalili tu kile tulichoandikiwa kwny vitabu na walewale wafanya biashara

HIV haipo wakuu na cyo kweli kwamba ARVs pekee ndo zina uwezo wa kupandisha kinga ya mwili y mgonjwa wa HIV

Kuna vitu vingi sana ambvyo vina uwezo wa kupandisha king a ya mwili ya binadamu na hta humu ndan vnaandikwa daily sema kwakwa watu wameshakalili na kutishiwa mtaendelea kuziabudu tu hzo bishzra za watu

Nina ushuhuda wa watu wa kutosha ambao baada y kuambiwa wana ukimwi walianza kuishi maisha y kuzingatia vile vitu vina yopandisha kinga ya mwili bila hat khtumka ARVs na afya zAo zinazd kupendeza tu na miaka kibao imepitwa bila homa yoyote ile

Hapo ndo nilianza kuwa na wasi juu y hii kitu
 
asee umeniongezea kitu hapo....
 
Back
Top Bottom