Sic March
JF-Expert Member
- Mar 2, 2019
- 690
- 941
Naomba kuuliza Madaktari na wataalamu mnisaidie kwa hili.
Juzi niliugua nilipata mshtuko wa moyo nikaenda hospital. Baada ya kupimwa Pressure, Kisukari, sikuwa na gonjwa hata moja lakini baadae nilipimwa damu wakakuta nina 16.4 wakazidisha mara 7 (16.4*7) wakapata 114.8
Nikaambiwa kwamba damu imezidi mwilini hivyo napaswa kutoa damu kwamba ndio shida mpaka napata hiyo shida ya mapigo ya moyo kwenda kasi na kichwa kuuma.
Hivo naomba wataalamu mnipe maelezo.
Je, ni kweli kwa hilo suala?
Sent using Jamii Forums mobile app