Kutetemeka na kusikia baridi kali

Isack Elia

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
331
474
ana miezi miwili tangia ajifungue (kwa operation) lkn tangia jana ameanza kulalamika anasikia baridi kali na kutetemeka hata kama amevaa masweta mazito...pia mshono wake kuuma ..je itakua ni ugonjwa gani?
 
Ana joto kwenye mwili? Kama ametoka kwenye operation hiyo si dalili nzuri. Wahini hospitali kwa muda huu jaribu kumpa maji ya kunywa kila mara
 
Kama yupo America na hataki kwenda hospitali si huyo mumewe anapiga 911 tu.
 
Back
Top Bottom