Anakosa hamu ya tendo la ndoa yaani jogoo kagoma kabisa kuwika

Amugisha

Member
Nov 7, 2019
39
18
Rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo fulani ambalo hakuwa nalo tangu mwanzo anaweza kufanya nini ili kuepuka hii haibu japokuwa kwasasa limekuwa kama janga la taifa.

Anakosa hamu ya tendo la ndoa yaani jogoo kagoma kabisa kuwika, na akijitahidi basi inamulazimu awe kama anajichua kwanza kwa muda kama wa dk 15 ndo inasimama lakini chakushangaza anasema akianza umeme unaweza kukata akiwa katika mchezo akapoteza mawasiliano, na anashindwa kuendelea bira kufika kileleni na akifauru kufika kileleni ni ndani ya muda mfupi sana ya kufumba na kufumbua anakuwa hwezi kurudia tena mpaka baada ya siku 5 labda tena anasema Shahawa zinatoka nyepesi sana kidogo,

Tofauti na zamani alikuwa hata akiona mwanamke anapita mbele yake anatingisha kitu kinasiamama lakini sasaiv imekuwa shida, nimejaribu kumuuliza kama amekuwa na kasumba ya kupiga punyeto ananambia toka azaliwe ajawahi , na kuusu maisha hayuko vibaya sana kiuchumi anamaisha ya kawaida ivyo sidhan kama ni stress za maisha maana hili kwetu wanaume huwa halitupi shida sana kwani hata wafungwa wanatamani kusex,!

Huyu rafiki yupo mkoa mwigine tofauti na mimi nilipo tumekuwa mala nyingi tukiongea kwa simu ni mala chache tunaonana labda kwa mwaka inaweza kuwa mala moja, baada ya kufikiria kwa kina hili tatizo lake nikakumbuka amefanya tohara akiwa mkubwa kama miaka 3 iliyopita kipindi ambacho tayali alikuwa na familia,

Chakushangaza anasema ameanza kuhisi mabadiliko haya tangu alipofanya tohara naomba kujua je kuna hathari zozote endapo mtu anafanya tohara ukubwani au hivi vitu haviusian kama kuna wataalamu wa haya mambo humu naombeni ushauri nipate cha kumshauri swaiba

Asanteni
 
Vyovyote vile ndugu utakavyo hisi wewe kikubwa ushauri tu.
Ok japo umezunguka Sana ila ni Wewe mwenyewe
Pole Sana hilo tatizo linaisha tuu wala Ucjal
Tatizo Dogo Sana hilo

Chemsha Tangawizi kalii
Weka Asali kunywa kila siku

Bila kusahau karanga mbichi, na mihogo mibichi
 
Inawezekana kuwa ni wewe huyo....HUWEZI KUWA NA DATA ZA NDANI ZA RAFIKI YAKO MAANA HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUMWADITHIA MWENZAKE KUWA HASIMAMISHI...

Anyway pole sana,ingia kwenye tiba ya Siku 40,kama upo tayar nikupe listi ya vitu vya kula Na mazoezi ya kufanya ila inabidi usijihusishe na sex kwa siku 40
 
Vyovyote tu ndugu kikubwa msaada upatikane.. Niambie tu vyakula gani vinapaswa kuliwa.
 
Kwanza ninachoshauri afanye check up ya magonjwa kama pressure na kisukari ili kujua kama mwili wake hupo okay.
Pili tohara kama tohara haiwezekani kuleta hayo madhara, tohara ni ukataji wa ngozi inayofunika kichwa cha uume, hiyo ngozi haiusiani na kitu chochote kuhusu ufanisi wa mwanamme kudindisha wala kufanya mapenzi.

Tatu ili mwanamme au mwanamke aweze kufanya mapenzi kwa ufanisi wa hali ya juu anatakiwa awe ametulia kimawazo na kiakili, Brain ndiyo ina uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa kusimamisha au kufanya mapenzi.
Ushauri wangu, afanye check up kama ana matatizo yeyote ya kiafya
 
Ushauri mzuri sana Kaka huu

Amugisha, Awe anagonga nyagi akikaribia kupiga show aidha atumie kitunguu swaumu wakati wa kula chakula au hutafuna kwa kuichanganya na vitafunwa kama karanga na korosho.
 
Tafuta HABAT SAUDA,TANGAWIZI,KITUNGUU SAUM na MDALASINI changanya na Asali lita moja.Asubuhi piga vijiko viwili mchana na jioni.Utaleta mrejesho.Pia asubuhi ajitahidi kula mchemsho kama ni wa kuku,Samaki ama Ng'ombe maji ya kutosha.THANK ME LATER
 
Inawezekana kuwa ni wewe huyo....HUWEZI KUWA NA DATA ZA NDANI ZA RAFIKI YAKO MAANA HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUMWADITHIA MWENZAKE KUWA HASIMAMISHI...

Anyway pole sana,ingia kwenye tiba ya Siku 40,kama upo tayar nikupe listi ya vitu vya kula Na mazoezi ya kufanya ila inabidi usijihusishe na sex kwa siku 40
Hawezi sex atajihusisha vipi hapo boss
 
Hapo kwenye namba Tatu huo ushauri huwa unanichanganyaga sana, mtu anakuambia saikologia inatakiwa, ki vipi? Maana mpaka mtu unaamua kufanya tendo tayari akili imeshakubali, ni kwamba saikologia yako tayari imeshakubaliana na moyo wako. Mtu anakwambia ni uoga, uoga gani K Umeziona zaidi ya miaka 10 au 20 unazichezea? Mwanaume asie na tatizo halihusiani na saikologia. Ndio maana hata mtoto mchanga wa wiki 1, ukimchezea kidudu chake lazima kisimame dede, je mtoto huyo anasaikologia gani? Ninaamini lipo tatizo zaidi ya saikologia.
Kwanza ninachoshauri afanye check up ya magonjwa kama pressure na kisukari ili kujua kama mwili wake hupo okay.
Pili tohara kama tohara haiwezekani kuleta hayo madhara, tohara ni ukataji wa ngozi inayofunika kichwa cha uume, hiyo ngozi haiusiani na kitu chochote kuhusu ufanisi wa mwanamme kudindisha wala kufanya mapenzi.
Tatu ili mwanamme au mwanamke aweze kufanya mapenzi kwa ufanisi wa hali ya juu anatakiwa awe ametulia kimawazo na kiakili, Brain ndiyo ina uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa kusimamisha au kufanya mapenzi.
Ushauri wangu, afanye check up kama ana matatizo yeyote ya kiafya
 
Thanks
Tafuta HABAT SAUDA,TANGAWIZI,KITUNGUU SAUM na MDALASINI changanya na Asali lita moja.Asubuhi piga vijiko viwili mchana na jioni.Utaleta mrejesho.Pia asubuhi ajitahid kula mchemsho kama ni wa kuku,Samaki ama Ng'ombe maji ya kutosha.THANK ME LATTER
 
Hapo kwenye namba Tatu huo ushauri huwa unanichanganyaga sana, mtu anakuambia saikologia inatakiwa, ki vipi? Maana mpaka mtu unaamua kufanya tendo tayari akili imeshakubali, ni kwamba saikologia yako tayari imeshakubaliana na moyo wako. Mtu anakwambia ni uoga, uoga gani K Umeziona zaidi ya miaka 10 au 20 unazichezea? Mwanaume asie na tatizo halihusiani na saikologia. Ndio maana hata mtoto mchanga wa wiki 1, ukimchezea kidudu chake lazima kisimame dede, je mtoto huyo anasaikologia gani? Ninaamini lipo tatizo zaidi ya saikologia.
Umeongea point 100/=
 
Tatizo lako unamsingizia rafiki yako, nani kakwambia hilo ni janga la kitaifa? Acha kukariri habari za mitandao.
Nenda hospitali kama unataka kupona huku huwezi pata msaada wa haraka na hskika kama kuamka asubuhi na kuwahi hospitali.
 
Back
Top Bottom