Utawezaje kuacha kupiga punyeto?

Morgan james

Member
May 21, 2012
28
1
Jaman nina ndugu yangu anapenda cana hizo mambo nimemshauri aache but anacema hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke co naomben michango jaman nimcaidiaje.
===
Same Cases

Nimekuwa nikisumbuka kuaacha mchezo wa kujichua kwa mda sasa ni kama miaka 3 najichua mchezo huu nilifundishwa na ndugu yangu alf nilivyoenda bafuni siku ya kwanza na ya pili nilisahau kwa kuwa sikuwa naufanya ila siku ya tatu nilikumbuka na nikatest ilikuwa tamuchungu kiukweli sikuwa napenda kuoga wakati ule nlikuwa napita hata siku tatu sijaoga lkn toka nianze ule mchezo nilianza kuogamara tatu kwa siku.

Kwa kuwa mi nimtundu na simu nikaja kuona google punyeto ya mafuta nkajaribu nikaona nayo fresh nilivyoona madhara nikaona ngoja nipige ya mwisho alf niache lkn toka siku hiyo ni kitenda wil nimeshidwa nikaja kugundua punyeto ya ndani kwa kuwa nda mwingi niko alone naipigaga najaribu kwa mda mrefu kuacha kunakipindi nilikaa

Miezi mitatu bila kupiga lkn wapi nikaludi chaputa nilipiga punyeto tarehe1/9 lkn jana nimeshindwa kujinzuia nikapata moja baridi pia leo asubuhi nanacho jizuia ni kupiga mara mbili au zaidi kwa siku mawazo yangu yametawaliwa na ngono tu

Msaada plz
Ahsanteni.

MAONI YA WADAU

Anyway pole sana dogoo, sijajua umri wako ila i bet unaweza ukawa teenager au early 20's. Hilo tatizo sio geni sanaa na naamini 90% ya wanaume wengi tumepitia huko au kupata tabu kuacha huo mchezo.

Nakumbuka enzi zangu za high school uboizini kushtua hata mara tatu kwa siku ilikuwa jambo la kawaida sana ila mchezo ulikuja kuisha kipindi cha University, sikuona sababu ya sabuni wakati watoto wazuri kila kona.

USHAURI
Usipende kujiweka mwenyewe mwenyewe sanaa, punguza au achana kabisa na michezo ya kukesha kwenye page za porn zinaongeza sana ushawishi kupiga nyeto, Kama si mtu wa michezo, ebu anza sasa kuuchosha mwili wako na mazoezi hutopata muda wa nyeto.

Najua kwa umri wako inaweza ikawa ngumu kupata "papuchi" mwanamke wa kusex nae mara kwa mara lakini nakushauri ukipata demu chapa sanaa hapa utaongeza heshima ya kiume na kuona sabuni na mafuta sio saizi yako. N:B Bado kasi ya maambukizi ya VVU ipo juu, CHEZA SALAMA.
View attachment 1218860
 
huyo anaongelea mwanamke wa ukweli au wa kufikirika? mpe binti anayejua 'mambo' uone kama atarudia hiyo kauli finyu.
 
ukikitizama kitu in a negative way kinakuwa kubaya,and vice versa is true. we chukulia kupiga puri ni jambo positive,mwache jamaa asonge mbele.....its safe...haina kuambukizwa virus!wakati wake ukifika ataacha....mimi nilikuwa bingwa wa afrika mashariki wa mambo hayo na nishaacha!teh teh teh!nilichukua ubingwa ktk mashindano yalifanyika kenya,mnataka niwahadithie jinsi nilivyobeba taji?
 
Bro hebu tiririka basi..
Haya mashindano yanasimamiwa na nani??? au ndio ile pool?
 
ukikitizama kitu in a negative way kinakuwa kubaya,and vice versa is true. we chukulia kupiga puri ni jambo positive,mwache jamaa asonge mbele.....its safe...haina kuambukizwa virus!wakati wake ukifika ataacha....mimi nilikuwa bingwa wa afrika mashariki wa mambo hayo na nishaacha!teh teh teh!nilichukua ubingwa ktk mashindano yalifanyika kenya,mnataka niwahadithie jinsi nilivyobeba taji?

Ebu hadithia mtaalamu wa Afrika mashariki na kati...
 
Jaman nina ndugu yangu anapenda cana hizo mambo nimemshauri aache but anacema hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke co naomben michango jaman nimcaidiaje.

Kama hata wanawake hawamtoshi labda kwakuwa wewe mwanaume basi muonjeshe tundu yako labda ataachana na puli, kama unakereka sana.
 
yani mi kupiga puli siachi na dawa sitaki, asipokuwepo tu mama watoto kwa muda lazima nipige kidogo, ina raha yake tofauti na kula mzigo wa ukweli....raha sana...
wala asiwadanganye mtu eti kuna madhara, yani nimeanza tangu nabalehe mpaka leo lakini hakuna mgongo kuuma wala nguvu kupungua tena ndo nimeongeza kasi hahhahahahaha
 
Tuachen masikhara hakuna mwanaume asiyeijua punyeto, mimi mwenyewe enzi zangu boarding kila ijumaa nilikuwa lazima nipashe kidogo kupunguza mafuta mwilini,, na hata sasa nikimmiss swthrt kama yupo mbali napasha kimoja nalala nasahau kabisa videm vya nje
 
yani mi kupiga puli siachi na dawa sitaki, asipokuwepo tu mama watoto kwa muda lazima nipige kidogo, ina raha yake tofauti na kula mzigo wa ukweli....raha sana...
wala asiwadanganye mtu eti kuna madhara, yani nimeanza tangu nabalehe mpaka leo lakini hakuna mgongo kuuma wala nguvu kupungua tena ndo nimeongeza kasi hahhahahahaha

naunga mkono hoja mia kwa mia, dah puli tamu sana sana yani mi nikiwa kitanda cha ugenini nateseka sana sipati uhuru wa kupiga puli, ikipita siku 2 sjapiga puli najiskia ovyoo. Nimeanza poli 1997 hadi hivi leo napiga puli,. Nimegundua style mpya sasa ya puli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom